Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

Sawa nimekupata ingawaje sina uhakika labda neno tohara hutumika pande zote mbili!

Ukisikia ujinga ndio huu unauleta wewe, kama kitu hujui kaa kimya. Au ulitaka aseme circumsition ndio ungeelewa?
Soma Agano la kale utajuwa tohara ni nini.
 
Ukisikia ujinga ndio huu unauleta wewe, kama kitu hujui kaa kimya. Au ulitaka aseme circumsition ndio ungeelewa?
Soma Agano la kale utajuwa tohara ni nini.

Duh! Mbona unanihukumu hivyo bila hata kunipa nafasi ya kujitetea? Umenisoma vizuri lakini nimeuliza kama kuna tofauti kati ya tohara kwa mwanaume na Mwanamke sasa kuna kosa gani kuuliza?
Kumbuka sijasema kwamba Tohara ni kwa mwanamke tu bali nimemuuliza mleta mada kama kuna tofauti na amesema hamna swali limejibiwa sasa sijui tatizo lako liko wapi!

Mdogo ana miaka mingapi? Vibamia asili yake ni kuwahi kutahiri watoto. Be informed.

.........Daaah! kumbe ndo maana wazazi wangu walinikaushia bila ya kunitahiri hadi nilipofikia miaka 27 nikajipeleka mwenyewe. Inawezekana wali-focus ishu hiyo ya kibamia.

Duuh!. JF is everything.aisee! Aha ha ha ha!!!!
 
Miaka 27 ulichelewa pia inatakiwa kabla hujabalehe.
 
wakuu, na mimi nipeni hint, nataka kwenda kumtairisha kijana wangu
 
we mstahiki meya gan hujui haya mambo bana. ok nenda pale kkoo kwa Dr Abdul dakika 10 nyingi Sema watu ni wengi wah asubuhi
Nakubaliana na wewe, watoto wangu wote nimefanyia hapo, sema ndio kuwahi mapema maana ukifika saa 12 utawakuta wenzio wameshachukua namba
 
Nakubaliana na wewe, watoto wangu wote nimefanyia hapo, sema ndio kuwahi mapema maana ukifika saa 12 utawakuta wenzio wameshachukua namba
mkuuu kwa mtu wa mbali anatakiwa afike saaa ngap pale walau awe na uhakika wa huduma??
 
mkuuu kwa mtu wa mbali anatakiwa afike saaa ngap pale walau awe na uhakika wa huduma??
Siku hutofautiana na hata ukipata namba 50 bado mwanao atatahiriwa tu sie wamama tunapendaga vya mapema mapema
 
Back
Top Bottom