Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

Hospitali gani nzuri ya kumfanyia tohara mtoto?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar

Shukran
 
Kama kweli upo serious na hili basi nione pembeni nikupe sehemu bingwa ya tohara
 
husika na kichwa cha habari wakuu..nihosptl gan nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa dar

shukran

we mstahiki meya gan hujui haya mambo bana. ok nenda pale kkoo kwa Dr Abdul dakika 10 nyingi Sema watu ni wengi wah asubuhi
 
Husika na kichwa cha habari wakuu, ni hospitali gani nzuri kwa kufanyia tohara wototo wadogo hapa Dar

Shukran

Kwa tohara una unamaanisha nini? Kwa maana hili neno mara nyingi hutumiwa kwa watoto kike au kwa watoto wa kiume pia ni tohara?
 
Back
Top Bottom