bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Sitakuja kuruhusu eti mtu kisa doctor achezee papuchi ya mke wangu siku nikioa, tena mwakaniNenda Kairuki.Sasa hivi wapo so Advanced.Operations-500,000/pia Bima wanapokea Na Huduma sawa Na wa private .Tofauti ndogo sana vyumba Baada ya kutoka operation room
Ila jamani Operation tuiongeleeni tu hapa ya uzazi Sio kitu cha mchezo.Kwanza Unainamishwa mgongo unadungwa Limsindano kama la Ng'ombe kwenye mshipa Mkuu.Baada ya hapo kwa Bibi wanaingiza mrija wa kuputisha mkojo.
Usile kitu masaaa kadhaaa kabla Na Baada
Nani anatesemaga eti Operation Ni rahisi?
Haya Iyo Ganzi ikiisha unaanza maumivu
Uwiiiiii
Nashauri operation iwe pale inapotokea Emergency my dear
Kwanza too risk.Ndo mana kama hujasainishwa Na ikasaulika waliohusika kazi hawana.
Mana pale unacheza Na Uhai Na kifo .
God forbid.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app