Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

Sitakuja kuruhusu eti mtu kisa doctor achezee papuchi ya mke wangu siku nikioa, tena mwakani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa ndio dr hufanyia physical examination yani aibu tupu lakini utafanyaje sasa. Hospital hamna aibu kule

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani doctor, aishike shike papuchi weeh afu eti bado nione iko na thamani ileile, isitoshe ukute lidoctor lenyewe ka kiume..! Naweza kuizila hiyo papuchi aisei..[emoji85][emoji85][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa dr huishika ni kawaida tu aisee hapo huko hoi unafikiri utajali tena bora dr wa kiume kuliko wa kike

Hapana kwakweli..! Roho yangu inagoma mwanaume kuchezea papuchi ya mke wangu, mara linaingiza kidole eti kupima mtoto kafikia wapi ebooooh..! Sitaki ujinga mke wangu kujifungua ni nyumbani dr. Mimi mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa punguza wivu dr hupima huku kazungukwa na nurse wa kike . so hapo ni mwendo wa tiba tu
Hapana kwakweli..! Roho yangu inagoma mwanaume kuchezea papuchi ya mke wangu, mara linaingiza kidole eti kupima mtoto kafikia wapi ebooooh..! Sitaki ujinga mke wangu kujifungua ni nyumbani dr. Mimi mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umenitisha' adi chozi limenilenga
 
Hapana kwakweli..! Roho yangu inagoma mwanaume kuchezea papuchi ya mke wangu, mara linaingiza kidole eti kupima mtoto kafikia wapi ebooooh..! Sitaki ujinga mke wangu kujifungua ni nyumbani dr. Mimi mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

papuchi bora ichezewe na daktari.. kuliko washenzi wanaokula mzigo sasa hivi kabla hujakutana nae..

ila sex, papuchi, dushe ni over rated tu... ukiiweka sana akilini unajitesa bure
 
Nenda Edward Michaud iko Barabara ya Sam Nujoma inapakana na Kanisa la Kakobe kama unatokea round about ya Mliman City.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…