Hospitali gani ya private ni nzuri kwa kujifungulia na gharama zake zikoje

Hahaaaa ndio dr hufanyia physical examination yani aibu tupu lakini utafanyaje sasa. Hospital hamna aibu kule

Sent using Jamii Forums mobile app

What is PV in gynecology?

A pelvic examination is the physical examination of the external and internal female pelvic organs. It is called "bimanual exam" when two hands are used and "manual uterine palpation" (palpation meaning an examination by touch). It is frequently used in gynecology.
 
Kiu gani Tena???

.
 
Hatari sana.Sana imagine Tumbo linafumuliwa mithiri ya Unavyopasua Kuku..
Uwiiiiiiiiiiiiii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ILE SINDANO NI HATARI SANA NDIO MAANA MATATIZO YAKE MNAPATA WAKATI WOTE MAANA KUNA WAKATI ILI KUZUIA KUTOHARIBU SOFT TISSUE INABIDI ATANUE NGOZI KWA KUTUMIA MIKONO BADALA YA KISU SASA UKIONA KAMA UNGEKUWA NDIO UNAPATA MAUMIVU YA MOJA KWA MOJA LAZIMA UFE.
 
Bora tu ile sindano ya kuua mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks dr for this kwanini kile cha mkojo huuma, hivo na kwanini ukiwekewa hyo mtu unaskia kiu mbaya ya kufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaoumwa migongo nijiavyo mimi mara nyingi ni kwa wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida ,
Naona kuna watu humu mnasema wanaojifungua kwa operations wanaweza kuumwa migongo?
Naona kama mmeongea kinyume chake!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani wewe ndiyo umeongea kinyume chake.

Migongo inauma haswa unaaeza tamani upige kelele kwa nguvu
Wanaoumwa migongo nijiavyo mimi mara nyingi ni kwa wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida ,
Naona kuna watu humu mnasema wanaojifungua kwa operations wanaweza kuumwa migongo?
Naona kama mmeongea kinyume chake!


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aga Khan is the best for maternity care
Bei sijui nashauri ukate bima

Ile AMI ya Masaki sijui pia..but kote najua wana accept bima
Confirm Kampuni za bim
 
E bwana kiu ya maji au vipi??? Wanamwake mmeumbwa mateso, mimi ule msemo wa wanaume wameumbwa mateso nadhani wanawake ndo mateso zaidi

Sionagi wanaume wanateseka na nini kwa kweli
Esp zama hizi ambazo mwanamke pia anajishughulisha kupata kipato
Mngezaa mngesemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…