Kwa muda mrefu nimekuwa nikifahamu hospitali na mawakili huwa hawaruhusiwi na taaluma zao kufanya matangazo ya kibiashara mpaka leo hii nilipokutana ni hii ya Yanga kuitangaza JKCI!
Sijajua lengo la huu mpango ni lipi hasa?
Kwamba JKCI wana uhaba wa wateja?
Au JKCI wanafanya ushindani na watoa huduma wengine kama wao nje ya nchi?
Hii ni mpya!