heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Aug 19, 2022 #1 Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
Wakuu, Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa
Phobia JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 1,156 Reaction score 1,819 Aug 19, 2022 #2 Nenda aghakhan, hindu mandal au TMJ mkuu
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 11,557 Reaction score 33,535 Aug 19, 2022 #3 Mkuu usije ukatumia Google kufanya conclusion ya ugonjwa unaoumwa,. nenda hospitali elezea dalili zako ndio upate matibabu.
Mkuu usije ukatumia Google kufanya conclusion ya ugonjwa unaoumwa,. nenda hospitali elezea dalili zako ndio upate matibabu.