heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Wakuu,
Shida ni hiyo maana nasumbuliwa na kizunguzungu mno, kila nikigoogle naambiwa Vertigo ambayo ni shida kwenye sikio maana sina balansi kabisa