Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,975
- 4,082
4.Je kwenye hii hospitali hamna mashushushu wa kuwasilisha taarifa sehemu husika?
Wahitimu wa zile kambi za Janjaweed ndio hupewa kazi pale kama ahsante kwa kuisaidia CCm kuiba kura.
Wengi wa waajiriwa ni watoto wa wakubwa ,sifa hazizingatiwi sana pale.
mimi nilimpeleka mwanangu, alianguka na kupoteza fahamu, kumpeleka pale katiwa drip na kuruhusiwa, nilipo lalamika akatokea Dr. mmoja wa kigeni akaniongelesha kwa kimombo nikamjibu ,akawa interesting na mimi.
Akaniuliza tatizo la mtoto nikampa lile Book la Daktari, akamuita yule aliyeniandikia dawa akamwambia huyu lazima afanyiwe CT- Scan, ndio akniandikia kipimo kile kisha akaniambia Mnazi mmoja ni mbovu uende Global, bei kule nadhani ni laki 400,000 , nikashindwa nikaondoka na mwanangu nikaishia kumshukuru yule Dr. Mgeni kwa kuonesha kujali.
Kuja kuulizia nikaambiwa CT-Scan ni nzima ila jamaa wanapiga dili na Global kwa kupata commision
Azarel umeona, halafu sasa si kwamba wanafanya kazi bure, wanalipwa mishahara ambayo ni kodi za wananchi, sasa sijui ni madaktari ambao hawa wito wa kidaktari baada ya kukosa kazi udaktari ukawa ni plan B?Huwa nashindwa kuelewa ni kwanini Hawa watoa huduma kwa wananchi wanakuwa na roho mbaya hivi
Mkuu ebu funguka kidogo, majibu ya X-ray ya Mnazi Mmoja yalikuwa yakoje na ya Muhimbili je?nimeikumbuka ile picha ya X-RAY niliopiga pale mnazi mmoja, nilipofika muhimbili ilifelishwa na madaktari.......
Chadema na CUF huwa wanaajiriwa wapi?Mkuu usiumie sana ndio CCM hiyo mbona tushaizoea,
Kigezo kikuu cha kazi pale mnazi mmoja nikuwa uwe kada wa CCM. Na ukishakua kada wa CCM unaweza mtukana yoyote kwenye eneo la kazi na wala pasiwe na tatizo. na wala huhitaji coalification nzuri kuajiriwa.
Wagonjwa wengi sana wameshapoteza uhai wao kizembe na wengine kupata vilema vya Maisha kwenye ile Hospital. Na si ile tu vituo vya afya vyote vya serekali Zanzibar ndivo vilivo.
Tuungane kuiondoa CCM madarakani ila tuzimalize hizi shida tena nyengine za kipuuzi zinazo tuandamaa.
Chadema na CUF huwa wanaajiriwa wapi?
Hiyo ndio hospitali kubwa zaidi ya serikali Zanzibar?
wataalamu wengi hususani vijana wanakimbia zanzibarna ndio CCM wanayoipandia majukwaa kila siku wakijisifu kuwa wanatoa matibabu bure
Azarel umeona, halafu sasa si kwamba wanafanya kazi bure, wanalipwa mishahara ambayo ni kodi za wananchi, sasa sijui ni madaktari ambao hawa wito wa kidaktari baada ya kukosa kazi udaktari ukawa ni plan B?
Rais ajaye ashughulikie uongozi wa Hospitali hii
Huwa nashindwa kuelewa ni kwanini Hawa watoa huduma kwa wananchi wanakuwa na roho mbaya hivi
Mkuu, wote wanaoichaguaga CUF na vyama vingine wote hawana Ajira siyo? 😂Mkuu Zanzibar bila ya kuwa na kadi ya CCM huna ajira kwenye Serekali.
Nahio kadi haitoshi pia unachunguzwa family background.
Sio Mnazi mmoja pekee. Ni sehemu zote ajira lazima uwe na kadi ya CCM. Inasikitisha sana.Kigezo kikuu cha kazi pale mnazi mmoja nikuwa uwe kada wa CCM
Na mfumo wenu huko pia inafaa muubadili.Kama hospitali ya daraja la juu ya serikali inakuambia kachukue kipimo fulani hospitali ya private basi hali sio nzuri huko.Kama mnaona tatizo ni serikali ya chama tawala huko basi sio mbaya mkakiweka chama kingine madarakani.Ila kama tatizo ni mfumo wenu wa maisha ya kila siku basi hapo hata mkibadili serikali mambo yatakuwa yaleyale tu.Nimesema hivyo maana nimeona huduma za afya huku na huko ni tofauti ilhali chama kilichopo madarakani ni kilekile.na ndio CCM wanayoipandia majukwaa kila siku wakijisifu kuwa wanatoa matibabu bure
Na mfumo wenu huko pia inafaa muubadili.Kama hospitali ya daraja la juu ya serikali inakuambia kachukue kipimo fulani hospitali ya private basi hali sio nzuri huko.Kama mnaona tatizo ni serikali ya chama tawala huko basi sio mbaya mkakiweka chama kingine madarakani.Ila kama tatizo ni mfumo wenu wa maisha ya kila siku basi hapo hata mkibadili serikali mambo yatakuwa yaleyale tu.Nimesema hivyo maana nimeona huduma za afya huku na huko ni tofauti ilhali chama kilichopo madarakani ni kilekile.
Mkuu, wote wanaoichaguaga CUF na vyama vingine wote hawana Ajira siyo? 😂
Ni.kweli ila..wapinzani.na vizazi vyao wapo tena wengi tu..kiasi kwamba wanatuhumiwa kufanya madudu ili kuiumiza serikali!Mkuu Zanzibar bila ya kuwa na kadi ya CCM huna ajira kwenye Serekali.
Nahio kadi haitoshi pia unachunguzwa family background.