D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mkopo wanakupa asilimia 100 kwa pesa ya ada haijalishi unasoma saint joseph na ada yako ni millioni 5 (kwa hilo SMZ nawapa hongera)sio ajira tu, Hata mikopo ya vyuo vikuu sasa hivi hawapati,
ishu pesa ya kujikimu bado ni mtihani
wanatoa laki 5 kwa semester kwa wanafunzi waliopo zanzibar
wanatoa laki 7 kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vya bara
hela yenyewe unakaa nusu na robo ya semester 1 hujaingiziwa
semester hii wanafunzi wote wamepewa laki 4 (unabaki unajiuliza ina maana pesa haikuwepo kwenye bajeti hata ipunguzwe)