Hospitali Kuu ya Rufaa Zanzibar Mnazi Mmoja shida iko wapi?

sio ajira tu, Hata mikopo ya vyuo vikuu sasa hivi hawapati,
mkopo wanakupa asilimia 100 kwa pesa ya ada haijalishi unasoma saint joseph na ada yako ni millioni 5 (kwa hilo SMZ nawapa hongera)

ishu pesa ya kujikimu bado ni mtihani

wanatoa laki 5 kwa semester kwa wanafunzi waliopo zanzibar
wanatoa laki 7 kwa wanafunzi wanaosoma vyuo vya bara
hela yenyewe unakaa nusu na robo ya semester 1 hujaingiziwa

semester hii wanafunzi wote wamepewa laki 4 (unabaki unajiuliza ina maana pesa haikuwepo kwenye bajeti hata ipunguzwe)
 
Ili wakupe huo mkopo lazima uwe na Zan Id, na kuipata hiyo Zan Id kama si Mwana CCM shughuli yake simchezo kabisa
 
I'd mashoga wanauza kwa shilingi 5000 tu..mpaka inakera..hata wageni wanapata..kuikosa ni kujitakia..
 
inaonekanwa upo kwenye mzaha mkuu, Id ya Zan ukiwa Mbara kuipata ni rahisi sana lakini si Mzanzibari. Mpaka wanasiasa wa upinzani wamekua wakilalamika kwenye vyombo vya habari mara nyingi tu
 
Ni.kweli ila..wapinzani.na vizazi vyao wapo tena wengi tu..kiasi kwamba wanatuhumiwa kufanya madudu ili kuiumiza serikali!

Kweli serikali ijayo ifumue pale..mpaka. ..Hamadi..naye ni waziri wa afya na katokea upinzani ila ndio yale yale !!
Hamad Rashid kazidiwa na Juma Haji Duni.
Haji Duni alileta nidhamu kwenye ile hospitali kwa wafanyakazi wake, lkn wakati wa Hamad Rashid hali imekuwa ile ile ya 2009 kurudi nyuma.
Rais ajaye anapaswa afanye maamuzi ya kufumua uongozi wa pale na ahakiki vyeti vya madaktari wa pale, haiwezekani serikali imetumia gharama kubwa kuongeza majengo mapya, kununua vifaa vingi tu vya kisasa halafu wahudumu wake wengi wawe na kauli chafu chafu, mgonjwa anapelekwa jumapili jioni anakuja kupata matibabu jumatatu alasiri mda wote kakaa bila hata ya first Aid, aaaaaa inauma serikali ijayo naiomba isikae kimya.
 
Mama mmoja alikuwa anasema alienda kujifungua pale Mnazi Mmoja akiwa pale aliletwa mama fulani naye kujifungua kumbe alikuwa na kifafa cha ujauzito, mama yule wahudumu badala ya kumjali wakawa wanamtolea maneno mambaya na huku akifinywa badala ya kusaidiwa, hatimaye alifariki mama yule, na hata ndugu zake wanakuja wahudumu kauli zao ni zile zile chafu chafu.
Mbona hospitali ya Bububu ni ya Jeshi la JWTZ na wahudumu wake wengi ni jeshi mbona hawana kauli au huduma za kibambe kibambe kama hii ya taifa na ya kiraia?
Hospitali hii ya Bububu ya JWTZ unasikilizwa na unahudumiwa vizuri na hakuna ubanguzi km ya Mnazi Mmoja.
 
Hii tabia ya kauli chafu..ni ya kawaida kwa hospitali za Serikali kote ..mpaka Tanganyika..hili nimeshuhudia Muhimbili...nadhani ni vile hakuna mfatiliaji..wanajuana na kulindana..
Ndio vile kazi kwa undugunaizesheni utashtaki wapi?

Bububu... ....ni tofauti.. ... nidhamu ni Jeshini pale!

Lakini ... Kipindi cha Juma Duni ujuwe palishaanza kuingizwa siasa na matabaka .... ... uliundwa umoja wa watu flani kisiri wa kuwasaidia watu flani na kuwapuuza..wengine..

Likashtukiwa.... ilitumika nguvu kuuvuruga...! ..ndio maana 'wanasema' jamaa..alipumzishwa kiinua miguu....

Kuna mengi... mkuu....wanasema wamemkaribisha..mumiani sasa anawala roho!

Sasa hivi kawekwa wa kitengo kutoka..T.....ny.ka! ndio haijambo kidogoooo...
 
Mama mmoja alikuwa anasema alienda kujifungua pale Mnazi Mmoja akiwa pale aliletwa mama fulani naye kujifungua kumbe alikuwa na kifafa cha ujauzito, mama yule wahudumu badala ya kumjali wakawa wanamtolea maneno mambaya na huku akifinywa badala ya kusaidiwa, hatimaye alifariki mama yule, na hata ndugu zake wanakuja wahudumu kauli zao ni zile zile chafu chafu.
Mbona hospitali ya Bububu ni ya Jeshi la JWTZ na wahudumu wake wengi ni jeshi mbona hawana kauli au huduma za kibambe kibambe kama hii ya taifa na ya kiraia?
Hospitali hii ya Bububu ya JWTZ unasikilizwa na unahudumiwa vizuri na hakuna ubanguzi km ya Mnazi Mmoja.
Wengi waliopo katika hospitali za jeshi ni chaguo lao kuwa wauguzi na madaktari.
 
Wahitimu wa zile kambi za Janjaweed ndio hupewa kazi pale kama ahsante kwa kuisaidia CCM kuiba kura.

Wengi wa waajiriwa ni watoto wa wakubwa, sifa hazizingatiwi sana pale.

mimi nilimpeleka mwanangu, alianguka na kupoteza fahamu, kumpeleka pale katiwa drip na kuruhusiwa, nilipo lalamika akatokea Dr. mmoja wa kigeni akaniongelesha kwa kimombo nikamjibu, akawa interesting na mimi.

Akaniuliza tatizo la mtoto nikampa lile Book la Daktari, akamuita yule aliyeniandikia dawa akamwambia huyu lazima afanyiwe CT- Scan, ndio akniandikia kipimo kile kisha akaniambia Mnazi mmoja ni mbovu uende Global, bei kule nadhani ni laki 400,000 nikashindwa nikaondoka na mwanangu nikaishia kumshukuru yule Dr. Mgeni kwa kuonesha kujali.

Kuja kuulizia nikaambiwa CT-Scan ni nzima ila jamaa wanapiga dili na Global kwa kupata commision
Huu upumbavu wanaoufanya inabidi wakaguliwe vyeti kwanza kisha wachukuliwe hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kufutwa kazi.
 
Ni.kweli ila..wapinzani.na vizazi vyao wapo tena wengi tu..kiasi kwamba wanatuhumiwa kufanya madudu ili kuiumiza serikali!

Kweli serikali ijayo ifumue pale..mpaka. ..Hamadi..naye ni waziri wa afya na katokea upinzani ila ndio yale yale !!

Hivi Hamad Rashid ni mpinzani?
 
Hamad Rashid kazidiwa na Juma Haji Duni.
Haji Duni alileta nidhamu kwenye ile hospitali kwa wafanyakazi wake, lkn wakati wa Hamad Rashid hali imekuwa ile ile ya 2009 kurudi nyuma.
Rais ajaye anapaswa afanye maamuzi ya kufumua uongozi wa pale na ahakiki vyeti vya madaktari wa pale, haiwezekani serikali imetumia gharama kubwa kuongeza majengo mapya, kununua vifaa vingi tu vya kisasa halafu wahudumu wake wengi wawe na kauli chafu chafu, mgonjwa anapelekwa jumapili jioni anakuja kupata matibabu jumatatu alasiri mda wote kakaa bila hata ya first Aid, aaaaaa inauma serikali ijayo naiomba isikae kimya.

Bila ya CCM kuondoka madarakani hakuna mabadiliko mkuu
 
Mkuu, wote wanaoichaguaga CUF na vyama vingine wote hawana Ajira siyo? 😂
Na mfumo wenu huko pia inafaa muubadili.Kama hospitali ya daraja la juu ya serikali inakuambia kachukue kipimo fulani hospitali ya private basi hali sio nzuri huko.Kama mnaona tatizo ni serikali ya chama tawala huko basi sio mbaya mkakiweka chama kingine madarakani.Ila kama tatizo ni mfumo wenu wa maisha ya kila siku basi hapo hata mkibadili serikali mambo yatakuwa yaleyale tu.Nimesema hivyo maana nimeona huduma za afya huku na huko ni tofauti ilhali chama kilichopo madarakani ni kilekile.

anatokea chama cha ADC ambacho ni CCM B a.k.a TLP ya visiwani
Hamad Rashid... ni CUF ..asili...na atabaki kuwa hivyo..huko kwengine ni kwenda " inga chejio tu " mkuu..

.... kwa vilemba...
 
inaonekanwa mambo ya kisiasa yalikupita kidogo, Hamad Rashid alifukuzwa CUF zamani tu, na anaendelea kutumiwa na CCM kwa maslahi yao, na ndio mana walimzawadia huo uwaziri.
 
Ndugu yangu ..sio kila box lililoandikwa hii " ni sabuni ya imo "uka jihakikishia ni imo kweli! ...mda mwengine hayawi hivyo...

Kuna mengi..ila nadhani hukunielewa hata nilichokujibu! Jaribu kusoma kwa utulivu zaidi...

Hamad ..ni CUF na atabaki hivyo..kule kenda kuchuma tu!... Sibahatishi hili mkuu.. ..!
Zugi mlole.. .
 
Back
Top Bottom