#COVID19 Hospitali Nchini Afrika Kusini zaandaliwa kupokea wagonjwa zaidi

#COVID19 Hospitali Nchini Afrika Kusini zaandaliwa kupokea wagonjwa zaidi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne

Rais Ramaphosa anasema idadi ya maambukizi ya siku imeongezeka mara tano zaidi ya wiki iliyopita. Amewataka Wananchi kupata chanjo, kuvaa barakoa na kuepuka misongamano ili kupunguza maambukizi

=====

South Africa's president says the country is preparing for more hospital admissions, as the Omicron coronavirus variant continues to spread to become a fourth wave of infections.

In his weekly newsletter, President Cyril Ramaphosa says the number of daily infections has increased five- fold over the last week.

He urges South Africans to get vaccinated, calling it an "urgent priority" that will also help economic recovery.

Mr Ramaphosa also encourages the use of face masks, social distancing and avoiding crowds to reduce the spread of the virus.

Source: BBC
 
Si hawa walisema wapongezwe kwa kugundua Kirusi na wala wasizuiliwe kuingia nchi nyingine ?

Sasa wao kama wananchi wa dunia hawaoni kuzunguka kwao ni kutapakaza kitu ambacho hatujakijua vizuri ?

Huu si muda wa kunyosheana vidole bali kushirikiana kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom