GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Habari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.