Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

Hakuna kitu kinashangaza kama hikoo
Mimi nafahamu bima ndo mtu anakuwa na Hela zake tayari sasa anakuwa anasumbuliwa baada ya kunyenyekewa

Watu wenye bima tunaonekana tuna maisha magumu kuliko wenye cash na tunaonekana kama tunapewa misaada wakati tumeweka pesa zetu
 
Back
Top Bottom