GOSSO MZEKEZEKE
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 180
- 204
Dah. kweli ni shidaHawazipendi kwa sababu wakati wa kwenda kudai malipo ya utibabu ambao Hospitali imeutoa huwa ni kizungumkuti, wanakatwa fedha zao, hawapati kwa wakati, shida sana.
Bima gani? Sio bima zote,NHIF na NSSFHabari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.
Baadh ya hospital washenz mnoHabari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.
Ungeenda nawe kufungua duka la dawa maana ulikuwa tayari una mtaji wa dawa mfuko mzima.Baadh ya hospital washenz mno
Nilienda kumuona Dr. na nikamuomba nataka kupima malaria kulingana na namna ninavyojisikia
Tukafanya maongez km dkk3 hv mwishowe nikaona isiwe tabu nikamkubalia tufanye km anavyoshaur
Nikapimwa malaria,UTI,taifod,wingi wa damu+grupu la damu nikapigwa na ultra sound mwishowe nikapewa dawa mfuko ule unaouzwa mia tano umejaa
Matibab kwa bima ni changamoto sana
Wao walikuwa wanaandika taarifa zisizo sahihi ndio maana wamebanwa kibao kimegeuka wezi hao wameibia sana serikali.Habari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.
Baadh ya hospital washenz mno
Nilienda kumuona Dr. na nikamuomba nataka kupima malaria kulingana na namna ninavyojisikia
Tukafanya maongez km dkk3 hv mwishowe nikaona isiwe tabu nikamkubalia tufanye km anavyoshaur
Nikapimwa malaria,UTI,taifod,wingi wa damu+grupu la damu nikapigwa na ultra sound mwishowe nikapewa dawa mfuko ule unaouzwa mia tano umejaa
Matibab kwa bima ni changamoto sana
Njoo kwetu bima za afya tuna encourage na tunawaheshimu. Karibuni sana kwetuHabari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.
Wajinga tu.nchi zilizoendelea mostly hawtumii cash.lazima uijali Afya yako kabla hujaumwa, so lazima ukatie Afya yako bima.nchi kama marekani utafia KWENYE benchi na cash yako ya kuungaunga.Habari wanaJF.
Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi.
Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana.
Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa kwanini hamtaki kuchukua hatua maana tatizo limekuwa sugu sana.
Halafu walivyo washenzi utaona wanaanza kukuambia usaini karatasi kabla hawajaandika dawa na bei zake, sasa ukiwaambia andikeni na dawa na gharama zake ndio nisaini utaona wanavyokuwa wakali utasema umeawaibia. Hii nchi shida sana.Baadh ya hospital washenz mno