msakamali77
Member
- Nov 6, 2016
- 24
- 8
Vipi wadau,mimi ni mwenyeji wa arusha mjini, naomba mwenye kufaham hospitali ya private hapa arusha ambapo ntaweza kufanya full body check up...na gharama pia kama utakuwa na idea...
Sababu ni kwamba nipo likizo nimeona ni muda muafaka wa kucheck afya yangu.asanteni
Sababu ni kwamba nipo likizo nimeona ni muda muafaka wa kucheck afya yangu.asanteni