Hospitali nzuri arusha

Hospitali nzuri arusha

msakamali77

Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
24
Reaction score
8
Vipi wadau,mimi ni mwenyeji wa arusha mjini, naomba mwenye kufaham hospitali ya private hapa arusha ambapo ntaweza kufanya full body check up...na gharama pia kama utakuwa na idea...
Sababu ni kwamba nipo likizo nimeona ni muda muafaka wa kucheck afya yangu.asanteni
 
Aga Khan Hospital mtaa wa Pangani jirani na shule ya msingi Meru.
 
Back
Top Bottom