Hospitali nzuri ya kwa mjamzito

Hospitali nzuri ya kwa mjamzito

Kama Kuna Dr au yoyote pale unae mfahamu naomba utu unganishe au unipe mawasiliano
 
Mkuu jakamoyo nenda Muhimbili fast track, wanapokea bima ya NHIF. Ingawa kuna foleni lakini huduma ni nzuri na mabingwa wote wako pale na ndio wenye hizo clinics huko mtaani.

Vumilieni foleni ila huduma ni nzuri aisee....
 
Asanteni sana, ameanza kwenda Muhimbili tangu Jana.
 
Aga Khan Dr Shafiq,kuhusu kupokea NHIF sina uhakika
 
Kaka nimependa upendo ulionao kwa mkeo.nimepitia changamoto pia ila hazifanani na zako ila nina recommendation kwa Dr. Prof. MGAYA.Ana clinic pale mbuyuni ...inaitwa Maria Clinic.ni elfu 25 tu kwa siku na maranyingi unaenda kila mwezi mara moja. ndiye alikua daktari wa mke wangu.Mungu kamtumia kwa njia ya ajabu na sasa tuna mtoto wa kiume ..anakaribia mwaka .Mungu ni Mkuu..nakushauri nenda kwa Daktari Prof. Mgaya. Pia daktari huyu Ni mwajiriwa wa Muhimbili pia.
Barikiwa kaka.Soon u wl b called a father...Cheers!!!
 
Kuna Dr mmoja ni bingwa wa mambo ya uzazi anaitwa Dr kapona ana patikana chanika mimi alinisaidia sana wife alikuwa na tatizo kama hilo ni pm nikupe namba
 
Back
Top Bottom