Hospitali nzuri ya vipimo/tiba ya Moyo

Hospitali nzuri ya vipimo/tiba ya Moyo

kizaizai

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
5,651
Reaction score
6,966
Mwenye kufahamu anisaidie. Kama itawezekana na gharama zake. Natanguliza shukrani.
 
Kwa mbeya si uende tu hapo hospitali ya rufaa mkuu wataalamu wapo.
Ila kama unapenda private pamoja na changamoto zao za kufanya biashara, maeneo ya karibu na ukumbi wa mkapa kule kuna clinic ya moyo kwa Dr. Mabula (ni maarufu kwa hilo jina), gharama si kubwa sana kwa vipimo vya Echo na ECG jumla huwa haizidi laki 1.
 
ECG na ECHO haziwezi zidi 70 kwa government hospital!! but kama uko vizuri au una bima ya afya unaweza kwenda Muhimbili pale kipo kitengo cha moyo ambacho ni kikubwa Tanzania nzima JKCI hapo matatizo yote ya moyo yanashughurikiwa
 
Nimemtolea mfano wa hiyo clinic ya moyo ya Dr Mabula, ni private mkuu. Na ni nyema kuwa na hela ya ziada. Najua sehemu nyingi Echo ni 50000 na ECG ni 25000, jumla ni 75000.
Hospitali nyingi za private huwa kuna ada/malipo ya kuonana na huyo cardiologist ambapo ni kati ya 20000 mpaka 30000.
Ndio maana kwa jumla nikamwambia awe na kama laki 1 kwa uhakika wa huduma.

Kwa za government ni nafuu ndio, na bima inaweza kumsaidia kupunguza gharama
 
ok umefikiri vema
 
Nashukuru kwa michango yenu. Nilienda TMJ Dar.
 
Back
Top Bottom