DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

DOKEZO Hospitali ya Aga Khan yadaiwa kufunga baadhi ya Vituo vyake Tanzania, Mamia wadaiwa kupoteza Ajira

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji.

Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini, kupitia mtandaoni na kuhudhuliwa na baadhi ya wafanyakazi.

Mtendendaji huyo amesema kwamba kutokana na changamoto za kiuendeshaji, Taasisi inalazimika kufunga baadhi ya vituo na kupunguza Wafanyakazi.

Hata hivyo, kwa mujibu ya mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo akizunguumza kwa faragha na Mdau Tanzania, amekili kuwa Taarifa hizo ni za kweli na zoezi la kufunga vituo hivyo limeshaanza na mwisho wa uendeshaji wake inatarajiwa ni mwishoni mwa wiki hii ambapo itakuwa Tarehe 15/8/2024.

Mtoa Taarifa huyo amesema kwamba tayari baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi katika vituo vinavyofungwa na wale wanaopunguzwa kutoka kwenye vituo vinavyosalia wameshapewa barua za mualiko wa majadiliano ya kuachishwa kazi.

MY TAKE
Katika hili waajiri wengi wanatumia udhaifu wa Sheria ya Kazi inayotumiKa nchini katika kuwachisha kazi wafanyakazi wao pindi tu Taasisi inapopitia changamoto kidogo.

Sheria imempa wigo Mpana mwajili wa kufanya maamuzi bila ya kujali hali ya mwajiliwa.

Pia kutokana na urahisi waliopewa katika kipengele cha kupunguza wafanyakazi hasa kwa sababu za kiuendeshaji.

Ni wakati wa mamlala hisika kufikiria kufanya mabadiliko ya sheria hii ili kuwapa ulinzi na uhakika wa ajira kwa wafanyakazi.

View attachment 3068018
Watanzania mna deal na adui asiyehusika kabisa. Ni shereia gani unataka zibadilishwe badala ya kupigania uongozi bora ili nchi iwe na ajira za kutosha?
 
Pengine expatriates ndiyo wenye utaalamu unauhitajika Aga Khan Hospital iishi, ila hali mbaya ya kisera ya serikali kuhusu huduma ya afya ni suala la muda tu nao expatriates watatupiwa virago au watakimbia wenyewe kwenda nchi zingine kwa kuwa wana utaalamu unaofukuziwa duniani kote.

Utasikia wataalamu expatriates wakikimbia Tanzania, wamepata ajira Dubai, Qatar, Namibia, Australia n.k
Hapana, I don't agree. Hawa ma expatriates ni mediocre kabisa. Inakuwaje uajiri CFO expatriates? Kwani hamna wazawa wenye adequate qualifications? Na ukiangalia hawa ma expatriates wa Aga Khan, wengi wao wametoka Pakistan.
 
uajiri CFO expatriates?

Usidharau utaalamu na uzoefu wa wataalamu, the Aga Khan Health services ina brand na standard zake globally. Hawawezi kuajiri kisa ni mzawa, kuna kitu wanaangalia kutunza brand yao kimataifa na kwa wateja wao wanaowahudumia .

Aga Khan hospital DSM, Nairobi, Lahore n.k wanataka kuhakikisha hazitofautiani sana huduma ili mtu akitua DSM na kupata dharura ya kiafya akilini mwake abilities break ya kwanza ni Aga Khan kutokana na brand oliyojijengea kwa wivu mkubwa kote duniani
 
Kuna ya taarifa za kufungwa kwa baadhi ya vituo vya kutolea huduma ya afya vilivyopo chini ya Taasisi ya Aga Khan, Tanzania kwa sababu za changamoto za kiuendeshashaji.

Fununu hizo zinaeleza kuwa Taarifa zimetokana na mkutano uliofanyika na mtendendaji mkuu wa Taasisi hiyo nchini, kupitia mtandaoni na kuhudhuliwa na baadhi ya wafanyakazi.

Mtendendaji huyo amesema kwamba kutokana na changamoto za kiuendeshaji, Taasisi inalazimika kufunga baadhi ya vituo na kupunguza Wafanyakazi.

Hata hivyo, kwa mujibu ya mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi hiyo akizunguumza kwa faragha na Mdau Tanzania, amekili kuwa Taarifa hizo ni za kweli na zoezi la kufunga vituo hivyo limeshaanza na mwisho wa uendeshaji wake inatarajiwa ni mwishoni mwa wiki hii ambapo itakuwa Tarehe 15/8/2024.

Mtoa Taarifa huyo amesema kwamba tayari baadhi ya wafanyakazi waliokuwa wakifanya kazi katika vituo vinavyofungwa na wale wanaopunguzwa kutoka kwenye vituo vinavyosalia wameshapewa barua za mualiko wa majadiliano ya kuachishwa kazi.

MY TAKE
Katika hili waajiri wengi wanatumia udhaifu wa Sheria ya Kazi inayotumiKa nchini katika kuwachisha kazi wafanyakazi wao pindi tu Taasisi inapopitia changamoto kidogo.

Sheria imempa wigo Mpana mwajili wa kufanya maamuzi bila ya kujali hali ya mwajiliwa.

Pia kutokana na urahisi waliopewa katika kipengele cha kupunguza wafanyakazi hasa kwa sababu za kiuendeshaji.

Ni wakati wa mamlala hisika kufikiria kufanya mabadiliko ya sheria hii ili kuwapa ulinzi na uhakika wa ajira kwa wafanyakazi.

View attachment 3068018
Mwajili-mwajiri acha uzaramo ww nyau
 
Kuhudhuliwa na baazi✖️
Kuhudhuriwa na baadhi✔️
Amekili✖️
Amekiri✔️
Waajili✖️
Waajiri✔️
Mwajili✖️
Muajiri✔️
Mwajiliwa✖
Muajiriwa✔️
Ni trick inayotumika ili wapate mteja wa kumuuzia bei ndefu.
 
ukifanya tathmini ya haraka utaona uwepo wa polyclinic za aga khan ulikuwa kwa sehemu kubwa unategemea nhif ambayo kumekuwa na ups and down na hili tamko la juzi la kusitisha huduma ndiyo limewaathiri zaidi na hii retrenchment ni obvious kutokea.
 
Kuhudhuliwa na baazi✖️
Kuhudhuriwa na baadhi✔️
Amekili✖️
Amekiri✔️
Waajili✖️
Waajiri✔️
Mwajili✖️
Muajiri✔️
Mwajiliwa✖
Muajiriwa✔️
Duh. Disaster. Kumbe tatizo letu la lugha ni zaidi ya kiingereza. Anyway, “mradi tunaelewana”.
 
Kwa jinsi serikali inavyozidi kuboresha huduma za afya katika hospital za umma tutegemee anguko zaidi katika taasisi nyingine binafsi,, tulipigwa mno na hawa wahindi,,
Unaambiwa mama kafungua nchi. Wawekezaji ndio hawa wanakimbia.

Kwanza nani kakueleza huduma zimeboreshwa?
Hospitali zinatunza damu kwenye majokofu ya kutunzia nyanya chungu na maparachichi.
Kuna hospitali mama wanajifungua chini sakafuni, na wanalala wawili kitanda kimoja.
Kuna kituo cha afya kimoja Dar wanaosha vifaatiba kwa maji baridi ya bombani hayahaya ya kuchambia chooni.

Huduma hospitalini ni mbovu, na bima zinasumbua vituo binafsi, na medical bills ni kubwa kwa wagonjwa.
 
Matatizo nahisi yanaanzia kwenye bima.

Kuna kila uwezekano wanaotowa cheki za bima wanadai mgao.

Uchunguzi wa kina ufanyike. Hapa inabidi waziri wa afya atupe majibu yanayoingia akilini.
FauzaFoxy, wala sio waziri wa afya. Tatizo ni rushwa. RUSHWA. Rushwa ikisha shamiri kila sector inaathirika. Wizi unazagaa kila sector. Makampuni yanashindwa kujiendesha kwa sbb wafanya kazi wanaiibia, bidhaa shindani zinaingia nchini bila kulipa kodi kwa hiyo zinauzwa cheap, bidhaa feki zinazagaa holela, makampuni na taasisi muhimu zinashindwa kuuza bidhaa zao na hivo kushindwa kujiendesha. Watu wanakuwa na hela chafu na kwenda kupata huduma nje ya nchi. Watu wanaagiza bidhaa kutoka nje ya nchin. Makampuni ya ndan yanakosa biashara. Serikali kushindwa kulipa madeni yake on time kwa sbb ya kufilisika, Walipaji kudai rushwa kwa kila check. Ukikataa hulipwi.
RUSHWA ni tatizo kubwa. Waoongoza serikali wanapaswa kubadilika. Makampuni mengi yatayumba, na wabongo watakosa kazi. Hivi yanajivuta vuta kuona uchaguzi ujao utakuwaje. Kama hakutakuwa na mabadiliko basi tegemea taasisi na makampuni mengi ku left hii nchi. Biashara zitafungwa. Wala rushwa wataneemeka na wezi wata taradadi. Tutaanza kuona wizi mpaka kwenye vituo vya polisi.
Kingine ni kama njia ya wafanya biashara kui taarifu serikali kuwa hali ni mbaya ichukue hatua. Na serikali active huchukua hatua.
Lakini pia ni kujiandaa na bima ya wote. Issue ya Bima kwa wote huwa inaua matibabu kutoka sector binafsi ndo maana inapingwa kila mahali, si Marekan, si SA. Bima kwa wote inashusha sana quality ya matibabu kwa sbb inatoa bei sawa kwa kila kipimo na service inayotolewa.
Tatizo kubwa ni mis governance,
 
Matatizo nahisi yanaanzia kwenye bima.

Kuna kila uwezekano wanaotowa cheki za bima wanadai mgao.

Uchunguzi wa kina ufanyike. Hapa inabidi waziri wa afya atupe majibu yanayoingia akilini.
Hakuna Cha mgao,

Ingawaje mwanzoni zilichezwa rafu za uhakika na ndicho kilichotufikisha hapa .. kuanzia pharmacy mpaka hospitali... Hujiulizi ukuwaji wa hiz polyclinic kama uyoga ulikuwa lengo ni nini?

NHIF ulikuwa inawapa premium Polyclinic na Hosp, Sasa disp nyingi zikajugeuza polyclinic kuchota maokoto ya NHIF ..

Kuna Pharmacy zilikuwa zinadai NHIF had Billions na huo mtaji hawana...
Kuna hospital zilijengewa wings na NHIF..
Long story short, this was expected.

zile pesa zimetumika kugharamia biashara zisizoendana na mfuko, same to NSSF etc....

Mfuko hauna pesa za kutosha kujiendesha na dawa ulikuwa kuhakikisha unaongeza wanachama wapya Kila mwaka hasa vijana....

Wenyewe wanasema bima ni sayansi, Wacha kiwalambe😂
 
Kuhudhuliwa na baazi✖️
Kuhudhuriwa na baadhi✔️
Amekili✖️
Amekiri✔️
Waajili✖️
Waajiri✔️
Mwajili✖️
Muajiri✔️
Mwajiliwa✖
Muajiriwa✔️
Kuna mahali walimu wetu wa kiswahili walifeli. Hii ni aibu
 
Back
Top Bottom