TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
... hata kama wanao mmoja issue ni kwamba mitungi imeisha. Akili kichwani; chukua tahadhari!Unakuta hospital yenyewe ina mitungi mitatu halafu unakuja na uzi kuwa imekumbwa na uungufu.
Tuambie kwanza ina jumla ya mitungi mingapi iliyo active na mingapi inatumiwa na wagonjwa hadi muda huu.
Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?... hata kama wanao mmoja issue ni kwamba mitungi imeisha. Akili kichwani; chukua tahadhari!
corona hakuna kuna DELTA bad boyπππHAKUNA KORONA
wale wana LPG tu sio oxygen ,TOL gas ndio nafikiri wana Oxygen.Kwan ORYX na Taifa gas hawaoni ili
Baba yake rafiki yangu kafariki Musoma na Mama yake yupo kwenye oxygen. Rafiki yangu naye kafariki mwaka jana mwezi wa nne na kaka yake katoka hospitali lakini alikaa zaidi ya siku 40 Houston, TX kwenye ICU . Kaka yake bado anatumia oxygen baada ya kupata matatizo kwenye mapafu. Yote hii ni Corona. Mama wanasema atapona anaweza kutoka wiki hii lakini atakuta mzee wamesha zika wiki iliyopitaMungu ni mwema atatusimamia
... dunia nzima ni Tanzania tu ndio inapigana vita vya kiuchumi kupitia Corona? Watu wazito kwa wazito; maprofesa kwa maprofesa wameteketea duniani kwa Corona ili kuipiganisha Tanzania vita vya kiuchumi? Kwa lipi hasa? Kuwa serious ndugu!Huu ugonjwa ni vita ya kiuhumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?