Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Mama yuko under test. Lakini uhalisia wa corona utaujua mtaani. Ni ngumu sana kumshawushi MTU kuvaa hiyo mambo. Acha wanasiasa wateseke, ila mtaani raia tunadunda tu.
Ndugu zangu, tusitishane, mtakuja kuua watu wengi zaidi ya corona yenyewe. Magu alisema na WHO wakaja wakapitia mlemle, itabidi tuishi na ugonjwa huu kama magonjwa mengine. I hate barakoa, nikutishana tu, hakuna lolote pale.
Is there any randomized clinical trial study ambayo inaonyesha effectiveness ya masks against covid.
Ushauli wangu:
1. Ushi kama vile hakuna covid
2. Usikubali kutishwa na barakoa
3. Treat hii kitu kama mafua tunazouguaga
4. Usikubali kupandishiwa pressure na huu msemo wa wimbi la 3.
Kwanza wasingekuwa wanaipigia chapuo, hii kitu isingekuwa iko tena kichwani mwa watu. Generally, mtaani hatujui kama kuna corona. Mungu alimpa hayati Magu maono ya kupambana na hii kitu, nawashauili tufuate nyayo zake.