Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Magufuli atawamaliza woote atawatesa na mtateseka nyau nyieSanamu inajengwa kwa million 420 sawa bhanaView attachment 1843938
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli atawamaliza woote atawatesa na mtateseka nyau nyieSanamu inajengwa kwa million 420 sawa bhanaView attachment 1843938
wewe nyau kweli unawazaga ujinga ujinga tu yaani wewe ulipataga zero darasani kwani Sanamu ya mashujaa wa Dunia imeanza kujengwa kwa Magufuli huna akili kabisa zero brain Drancuculus medinensisNyau mamako na babako
ahaaa nisamehe bosi kumbe ushapiga ulanziNshakunyamwa Mimi usinivuruge saizi
Sipo hapa kubishana,kuleta hofu ama kutangaza habari za chanjo ila katika kipindi hicho nilichokitaja nimehudhuria misiba sita, njia kuu ya kuingilia Arusha kutoka Moshi (Usa River) kuna pub inaitwa Rotterdam biashara ilikuwa imepwaya tuliokuwa tunakula pale ni watu wachache mno, zikisimama basi za wanaoenda ama kutoka kwenye misiba ndio angalau wanapata wateja. Ninacho kielezea ni hali halisi , hospitali za KCMC na Seliani hali ilikuwa ngumu mimi nimeuguza ndugu yangu wa damu kipindi hicho vitu vingine sio kukaza kichwa tu na kuleta kiburi uonekane mjuaji.Tapeli wewe, huna lolote..
Moshi ipi hiyo unayoizungumzia wewe?
Eti hali mbaya?? Mbaya gani?
Nyie matapeli ni wa kutandika bakora kabisa!
Corona corona corona Rwanda wametangaza lockdown nyingine na wanafunzi wameanza kurudishwa nyumbani.Aisee..
Ukibishana na Wapumbavu, watakupeleka kwenye level yao, na kukushinda kwa uzoefu........
Corona corona corona Rwanda wametangaza lockdown nyingine na wanafunzi wameanza kurudishwa nyumbani.Huo ugonjwa kuna wapumbavu wanauchukulia kirahisi rahisi mpaka mtu apoteze mtu wake wa karibu ndio atatia adabu..
By the way wote tumeona matokeo ya walioudharau huu ugonjwa tukianza iwa dikteta mwenyewe..
Hoja nzuriUnakuta hospital yenyewe ina mitungi mitatu halafu unakuja na uzi kuwa imekumbwa na uungufu. Tuambie kwanza ina jumla ya mitungi mingapi iliyo active na mingapi inatumiwa na wagonjwa hadi muda huu.
Niko suala ambalo haliwezekani, lochdown itasababisha machafuko kwa maana watu huhitaji kutoka ili kupata riziki zao ukiwafungia inakuwaje?Ngoja tuone,kama tutatoboa bila lockdown this time around🙄🙄🙄🙄
Inabidi corona ipige kwelkweli ili tupime uwezo wa kulinda Tz nan mkali kat ya SSH na JPM[emoji23][emoji23]
Usipotoa taarifa kama hizi za upungufu wa vifaa ama kuzika majeneza tupu hupati fedha za misaada za koronanasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen.
Dah .... Hatari sana.. mkopo dolari hizi utawatoa roho..... Itafika mahali hata ukiteguka mguu utapelekwa kwenye Ile wodi yetu pendwa ili ujaze nyomi mzigo utoke...,🤣🤣🤣🤣🤣🤭HAKUNA KORONA
Mama yuko under test. Lakini uhalisia wa corona utaujua mtaani. Ni ngumu sana kumshawushi MTU kuvaa hiyo mambo. Acha wanasiasa wateseke, ila mtaani raia tunadunda tu...
Usipotoa taarifa kama hizi za upungufu wa vifaa ama kuzika majeneza tupu hupati fedha za misaada za korona
EeenHee Heee, angalia punguani kama huyu hapa!Ni kwa sababu wengi wenu kisomo mlichonacho ni duni, hamuelewi hata misingi ya uchumi na uzalishaji mali.
Huu ugonjwa ni vita ya kiuchumi Magu alikuwa amewashtukia. Lazima tujiulize kwa nini watu wamedunda tangu May 2020 hadi leo bila barakoa wala chanjo lakini sasa hivi tumeanza kutishana na kutiana hofu kuwa korona ipo tuvae barakoa tena kwa lazima?
Upinzani ukija kichukua nchi tunalipiga chini,hatuwezi kuenzi MTU aliyeharibu demokrasia,mtekaji nk.
By the way hata litengenezwe kwa dhahabu tupu haizidi milioni mia moja,kuna upigaji hapo.
Sasa wewe! Kama mtu kaondoka na korona badala ya kumuenzi kwa kutumia pesa hiyo kununua mitungi ya gesi kuokoa maisha ya wengine mnatengeneza sanamu?Wewe hiyo hela ni ndogo sana kwa serikali. Ni hela ya chai na mikate kwa siku moja tu.
Acha kuiaibisha serikali na kuitukana...
Kama TAIFA tulipitishwa katika kipindi kigumu mno na haya ndio madhara ya matokeo ya kule tulikopitia.. Ni wazi kabisa huu ni mpango wa muda mrefu hata kabla ya kifoSanamu inajengwa kwa million 420 sawa bhanaView attachment 1843938
Je, kwasasa ndio kipaumbele?sasa unaonea wivu mpaka sanamu, MIL 420 hio sasa si ela ya ndan ya dakika kumi serikali imeingiza, whats special about hio sanamu isiwepo?