A
Siku hizi hospital nyingi wanatumia mifumo..dawa haziandikwi kwenye kadi.Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao.
Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa hawataki. Ukirudi kwa Daktari pia naye anakwambia ukipata pesa njoo uchukue na dawa zao ni ghali sana tofauti na gharama ya kawaida.
Tatizo hilo lipo hospitali zote binafsi, usiponunua dawa kwao hawakupi cheti cha dakitari kikionesha vipimo vyako na dawa ya kutumia.Hospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao.
Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa hawataki. Ukirudi kwa Daktari pia naye anakwambia ukipata pesa njoo uchukue na dawa zao ni ghali sana tofauti na gharama ya kawaida.
Iko magomeni ,dsmToa maelezo kamili hospitali ipo wapi mkoa gani ili uweze kusaidiwa Acha kutoa habari nusu nusu
MkuuHospitali ya Ekenywa wanalazimisha wateja wa Bima hasa NHIF kununua dawa kwao.
Ukienda kutibiwa wanakwambia hii dawa haipo kwenye bima; ukienda Kwa mfamasia ukimuomba akuandikie jina la dawa hawataki. Ukirudi kwa Daktari pia naye anakwambia ukipata pesa njoo uchukue na dawa zao ni ghali sana tofauti na gharama ya kawaida.
Ni soko huria mkuu,Hao jamaa ni noma sana aisee,,
Nilimpeleka mtoto wangu kuangaliwa masikio.
Gharama zao ni balaa na nusu.
Kuandikisha kadi 20000/
Kumwona dokta 40000/
Sikio la mtoto niligjaramia 120,000.,
Kutokana na kukamua wanaichi amenunuwa nyumba zote zilizomzunguka..
Iwekwe sheria kali kwa watu ambao hawataki kupokea wagonjwa wa wanachama na NHIF
Hospital ipo magomeni mwembe chai,,mtaa wa kagera close to karume primary school.Toa maelezo kamili hospitali ipo wapi mkoa gani ili uweze kusaidiwa Acha kutoa habari nusu nusu
kwengine wapi wakati wao ndy wataalam wa masikio.Ni soko huria mkuu,
Ukiona wana gharama kubwa nenda kwingine tu an
Nimependa sana gharama zao. Zitafanya raia tujue kuwa bila uongozi unaowajibika maisha yanakuwa magumu.Hao jamaa ni noma sana aisee,,
Nilimpeleka mtoto wangu kuangaliwa masikio.
Gharama zao ni balaa na nusu.
Kuandikisha kadi 20000/
Kumwona dokta 40000/
Sikio la mtoto niligjaramia 120,000.,
Kutokana na kukamua wanaichi amenunuwa nyumba zote zilizomzunguka..
Iwekwe sheria kali kwa watu ambao hawataki kupokea wagonjwa wa wanachama na NHIF
Kabisa mkuu..Nimependa sana gharama zao. Zitafanya raia tujue kuwa bila uongozi unaowajibika maisha yanakuwa magumu.
Mbona NHIF wanapokea mkuu. Ila jamaa wapo vizuri sana kwenye issue za masikio. Huduma zao ni bora sana.Hao jamaa ni noma sana aisee,,
Nilimpeleka mtoto wangu kuangaliwa masikio.
Gharama zao ni balaa na nusu.
Kuandikisha kadi 20000/
Kumwona dokta 40000/
Sikio la mtoto niligjaramia 120,000.,
Kutokana na kukamua wanaichi amenunuwa nyumba zote zilizomzunguka..
Iwekwe sheria kali kwa watu ambao hawataki kupokea wagonjwa wa wanachama na NHIF
Kipindi hiki nilikuwa sijasajili bima ya mtoto NHIF.Mbona NHIF wanapokea mkuu. Ila jamaa wapo vizuri sana kwenye issue za masikio. Huduma zao ni bora sana.