DOKEZO Hospitali ya Ekenywa inalazimisha wagonjwa wa NHIF kununua dawa hospitalini kwao

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kipindi hiki nilikuwa sijasajili bima ya mtoto NHIF.

ila kuna mkuu amelalamika hapankwamba hawapokei NHIF kwa baadhi ya dawa.
Mbona hilo lipo hospital zote hata za serikali aisee, especially dawa za kisukari baadhi unakuta haziwi covered na NHIF. Hata baadhi ya vipimo mtu analazimika kulipia
 
Mbona hilo lipo hospital zote hata za serikali aisee, especially dawa za kisukari baadhi unakuta haziwi covered na NHIF. Hata baadhi ya vipimo mtu analazimika kulipia
Ni kwl lakini hao ikenywa hawataki kukuandikia dawa ukanunuwe inje,

Wanataka lazima ununuwe kwao ambapo dawa ni ghali sn.
Kama hutaki kununuwa basi dawa huandikiwi..
 
Ni kwl lakini hao ikenywa hawataki kukuandikia dawa ukanunuwe inje,

Wanataka lazima ununuwe kwao ambapo dawa ni ghali sn.
Kama hutaki kununuwa basi dawa huandikiwi..
Mkuu,kwa mfumo wa sasa hospital zote zilizo funga mifumo hufanya mawasiliano kwa njia ya mtandao..mgonjwa hatembei na kadi...mwezi wa tisa mwaka huu nilikuwa na mtoto Benjamin mkapa.

Tulimuona daktari wa watoto,aliandika vipimo kupitia computer akavisend Maabara..Kule maabara tulipimwa,majibu walirudisha kwa Daktari kupitia mfumo (computer)..tulirud kwa Daktari,kupitia majibu aliyo tumiwa kutoka Maabara,aliandika dawa kupitia mfumo kwenda dirisha la dawa..ndiko tulipokea dawa.

Nilishuhudia mtu akiomba aandikiwe dawa pale dirisha la dawa,maana yeye alikuwa anatumia cash,hivyo aliishiwa. Aliambiwa aende halafu atarudi,,ila atunze ile namba ya utambulisho na siku aliyo hudhuria hospital.

Tusipende kulaumu private wakati hata serikalini hicho kitu kinafanyika.
 
Hospital za masikio Dar hii zipo kibao
Ni kwl lakini unaweza ukatoka gongo la mboto ukafata hospital tegeta?
Hata kama zipo nyingi ukaribu wa hospital lazima uzingatiwe pia..
 

Tiba ni gharama
 
Kwanza mfamasia haruhusiwi kuandika dawa, hiyo ni kazi ya daktari.

Pili nhif wana mabango kila kona ni haki yako kupiga ulalamikie hilo swala.

Tatu hospitali kubwa zote nhif wameweka wawakilishi wao hivyo unapaswa kuomba kuonana nao.

Nne nhif wana package zaidi ya nane lazima ufahama huduma ambayo kifurushi chako kinapata.
 
Hii nchi sasa kila.mmoja anajimegea keki yake
 
Ahsante.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…