Haludzedzele
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,468
- 530
Dah basi imebadilika Sana kama ndio hivyo ilkua hospitali smart Sana mwaka 2001 nimeugulia hapa almost mwaka mzima huduma ilkua nzuri Sana. Madaktari vijana wanachangamoto Sana aisee Mie kuna hospitali moja Kigoma MAC-REN niliwahi kaa saa nzima jamaa anapiga Stori tuu na demu na kuchekacheka tuu nlisepa na majibu ya maabara na sikuwahi kurudi tenaJengo kubwa, huduma sifuri