Hospitali ya macho dsm

Hospitali ya macho dsm

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Nasalimia kwa jina la Muumba aletaye uzima na kifo.
Mhusika: miaka 17.
Kazi: mwanafunzi.
Jinsia: ke.
Tatizo: mcho hawezi kuangalia mwanga.
Hali yake: critical, hawez kusoma.
Ombi: wapi napata huduma ya tiba ya macho kwa bei ya mtanzania wa kipato cha chini asiye na bima.
 
Kuna jamaa alinielekezaga kuna hosptali ipo kibaha mpkan inaitwa medewell anasema kuna madokta wazuri na mm nmepqnga nikipata hela niende maana shida aliokuwa nayo yule jamaa na mm nnayo hyhyo nadhan ukiingia insta ukisearch utawaona na kama utafanikiwa kwemda utaniambia mkuu na mm ntaka niende nna tatz la kuona mbali
 
jamaa alisema alitumia elfu 40 tu
wakati alishazunguka akaenda mpka ccbrt macho wakamwambia avae miwani na miwani ynyew bei kwenda kule kapewa dawa kapona
 
Back
Top Bottom