powercert_Tz
Member
- Jul 19, 2022
- 45
- 44
Kutokana na juhudi za serikali kuboresha huduma za afya nchini, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila imeanza kupokea wagonjwa kutoka nje ya nchi wanaofuata huduma za kibingwa, ikiwemo huduma tiba ya kuweka puto kwenye tumbo la chakula (Intragastric balloon), ili kusaidia watu wenye uzito mkubwa kupungua.
Huduma hiyo na huduma nyingine za kibingwa zilizoboreshwa zimesababisha ujio wa wageni kutoka nchi jirani kuja kupata tiba nchini. Ujio wa wageni, unadhihirisha kwamba sekta ya afya imeimarika kwa kiasi kikubwa, hivi kwamba inauwezo wa kuhudumia Watanzania pamoja na wageni. Kuimarika kwa sekta hii kunatokana na juhudi za serikali ya awamu ya sita kuweka na kusimamia vyema utekelezaji wa bajeti ya sekta ya afya ambayo imetumika vyema katika kununua vifaa tiba na kujenga vituo vidogo vya afya (zahanati) karibu na wananchi. Pongezi kwa Rais Samia na serikali yake kweli #mamayukokazini