MENERIKI II
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 642
- 1,294
Waligundua vipi kama inauaSumu haijaribiwi kwa kuonja
Hata ward ya VIP sijui ilipoAlipangiwa Wapi VIP room? Maana unaweza ukawa unasemasema tu wenzio wanaosota kwenye Meli ya Kijeshi ya waChina kule hawajui Mloganzila ilipo?
Wakati madaktar ndo wale wale wanashift mloganzila na muhimbili wanaenda kwa zamuMadaktari wao hawapo serious kulinganisha na muhimbili..
Kuna sumu ipi hapoSumu haijaribiwi kwa kuonja
Basi sikia wanachokisema wenzioHata ward ya VIP sijui ilipo
Niwasikiaje wakati mimi nasemea uhalisia niliokutana nao. Achana na hearsayBasi sikia wanachokisema wenzio
Haya sawa basi komasava?Niwasikiaje wakati mimi nasemea uhalisia niliokutana nao. Achana na hearsay
Nilimpeleka binti yangu kwa ugonjwa fulani,Wakati madaktar ndo wale wale wanashift mloganzila na muhimbili wanaenda kwa zamu
Hiyo inatokea popote hata hapo muhimbili katika utoaji wa huduma za afya lazima discussion ziwepo kila siku na kama inahitajika mabadiliko watafanya ili kumsaidia mgonjwaNilimpeleka binti yangu kwa ugonjwa fulani,
Wakaidhinisha mtoto atumie dawa fulani,
Nilipohamia muhimbili doctor alishangaa kwann wamempa dawa hizi bila kumpima vipimo flani flani ?
Doctor muhimbili akasitisha matumizi ya dawa zile hadi mtoto apimwe na tena na kujiridhisha..
Ndy nilipowaona mloganzila hawapo serious na kazinzao.
Express kwenda wapi?Na hii Ibadilishwe jina iitwe Samia express hospital
Inaweza kuwa inalamikiwa lakini ukiachana na wingi wa watu hii hospital ina huduma bora ukilinganisha na hospital zingine. Hebu tembelea Bugando uone maajabu ya karne mgonjwa anaweza wekwa emergency room kwa siku mbili bila kupelekwa wodiniNdio inaongoza Kwa kulalamikiwa