Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Hospitali ya Mloganzila ndiyo mfano wa utoaji wa huduma za Afya nchini

Wakati madaktar ndo wale wale wanashift mloganzila na muhimbili wanaenda kwa zamu
Nilimpeleka binti yangu kwa ugonjwa fulani,
Wakaidhinisha mtoto atumie dawa fulani,

Nilipohamia muhimbili doctor alishangaa kwann wamempa dawa hizi bila kumpima vipimo flani flani ?
Doctor muhimbili akasitisha matumizi ya dawa zile hadi mtoto apimwe tena na kujiridhisha..

Ndy nilipowaona mloganzila hawapo serious na kazinzao.
 
Nilimpeleka binti yangu kwa ugonjwa fulani,
Wakaidhinisha mtoto atumie dawa fulani,

Nilipohamia muhimbili doctor alishangaa kwann wamempa dawa hizi bila kumpima vipimo flani flani ?
Doctor muhimbili akasitisha matumizi ya dawa zile hadi mtoto apimwe na tena na kujiridhisha..

Ndy nilipowaona mloganzila hawapo serious na kazinzao.
Hiyo inatokea popote hata hapo muhimbili katika utoaji wa huduma za afya lazima discussion ziwepo kila siku na kama inahitajika mabadiliko watafanya ili kumsaidia mgonjwa
Kuna ugonjwa hutakiwi kujiridhisha kwanza dawa zinakuwa zinaendelea wakat wanajiridhisha wakikuta sio ugonjwa ule watafanya maamuzi mengine hiyo ni kawaida kila sehem
Mfano umekuja hospital unakohoa lazima wataanza na antibiotics wakati wanaendelea kuchunguza kisababishi cha kukohoa majibu yanaweza yakawafanya wabadilishe dawa au waendelee nazo kwa hyo hilo sio tatizo mkuu
 
Kwa hospitali za uma, Mloganzila mnajitahidi kutoa Huduma nzuri,

Nimetibiwa pale mara kadhaa, Huduma zao ni nzuri, japo Kuna changamoto moja mnatakiwa muhifanyie kazi Upande wa vipimo hasa vipimo vya Radiology,

Upande wa MRI, naskia mna MRI MACHINE, moja, na idadi ya wagonjwa mnao wahudumia kwa siku ni wengi, kutokana na clinic za Neurology kuhamishwa kutoka Muhimbili Upanga , hivyo kupelekea wagonjwa kukaa mda mrefu wakisubiri kipimo,

Kuna baadhi wa wagonjwa wanasubiri vipimo vya MRI hadi saa nne usiku, hii haijakaa sawa.

Kwa hadhi ya hospitali ya Mloganzila, haikupaswa iwe na MRI, na CT SCAN moja,

Ombeni fungu mnunue machine nyingine za MRI na CT SCAN, kuondoa usumbufu wanao pata wagonjwa kwa kusubiri vipimo kwa mda mrefu, na pindi machine zinapo pata hitilafu.
 
Ndio inaongoza Kwa kulalamikiwa
Inaweza kuwa inalamikiwa lakini ukiachana na wingi wa watu hii hospital ina huduma bora ukilinganisha na hospital zingine. Hebu tembelea Bugando uone maajabu ya karne mgonjwa anaweza wekwa emergency room kwa siku mbili bila kupelekwa wodini
 
Back
Top Bottom