Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?

Au mimi kuna kitu sielewi?

 
Uwekezaji wa hospital mpya kubwa kama muhimbili ni zaidi ya hiyo 500B.

Location ya muhimbili imekaa sehemu sahii sana.
Tunaweza kuendelea kuwekeza muhimbili huku tunajenga hospital nyingine kama Mloganzila na ile ya Dodoma au Mtwara.

Muhimbili ni hospital ya kimataifa so lazima iboreshwe zaidi.

Utalii wwa afya unalipa sana.
 
Wataalamu wa Lugha mtusaidie ni kujenga upya au kukarabati upya?

Bilioni 500 nusu ya trilioni. Ni pesa nyingi!

Tunafahamu umuhimu wa hospital hii ila serikali ingeangalia namna ya kuongeza hospital nyingine kubwa zenye hadhi ya kulingana au zinazokaribiana na Muhimbili.

Ingesaidia kuongeza ajira haswa kwa vijana, na huduma za afya zenye uhakika.
 
Aiseeee!!! basi haya.
 

Hizo pesa Samia anazo kwenye personal Ac yake mara 5

So relax ni hela ndogo
 
wewe ni mfu? hujui tofauti ya kupinga na kuhoji mpaka leo? ,mtu akihoji jambo badala ya kumjibu unasema ana pinga na ni cdm? huko ulipo wewe mnakubaliana kila kitu?
ni wafu ndiyo hawahoji
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe Acha tu. Kwanini wasitafute eneo nje ya jiji na kujenga hospital iitwayo NEW MUHIMBILI REFERAL HOSPITAL. Hii ya leo ikaitwa Old Muhimbili Referal hospital. Kwanini wabomoe majengo mengi?
 
Bwana 'Tumbili' Dalali Mkuu wa serikali hajazungumzia hili au hajapewa maelekezo toka juu?

Kwa nini hao wanaowaleta kwenye mnada wa kuuza mali zetu hawajachangamkia maeneo kama hili; na badala yake wanakimbilia kwenye barabara na umeme?
Najuwa kwa nini.
 
naishukuru serikali ya cha cha mapinduzi chini ya mama yetu mpendwa

hii ni atua nzuri sana kuwai kulengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…