Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

Hospitali ya Muhimbili itajengwa kwa miaka mingapi?

Hizo pesa zingeelekezewa kujenga hospitali kubwa kwenye mikoa mengine.
Mfano kuna watu tabora maeneo ya kariuwa waje shinyanga kahama kutibwa huku.Ingekuwa imeleekezwa sehemu kama hizo wangeishia huko huko.
 
Ni mpaka tupate ufafanuzi kamili
La sivyo tutakuwa tunabuni tu kama mimi hapa.
Labda majengo yanaongezwa kwa ajili ya wanafunzi wa nje na wa ndani

Wagonjwa pia wanaongezeka kila leo na ni sehemu nzuri
 
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?

Au mimi kuna kitu sielewi?

View attachment 2989926
Hii idea common sense inakataa kabisa...

Eneo lenyewe finyu wakati tuweza wekeza nguvu nying kwenye hospital mpya ya kisasa kabisa tukaacha MNH iendelee kutoa huduma vizur kuliko hizo prukushan mpya za sasa
 
Watu wanawaza kula tu
 
Back
Top Bottom