Wanatuchezea akili hawaNi kweli, hiyo ni mpya
Yetu machoWanatuchezea akili hawa
Awamu hii,haiaminikiHivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?
Au mimi kuna kitu sielewi?
View attachment 2989926
Hii idea common sense inakataa kabisa...Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?
Au mimi kuna kitu sielewi?
View attachment 2989926
Watu wanawaza kula tuHii idea common sense inakataa kabisa...
Eneo lenyewe finyu wakati tuweza wekeza nguvu nying kwenye hospital mpya ya kisasa kabisa tukaacha MNH iendelee kutoa huduma vizur kuliko hizo prukushan mpya za sasa