KERO Responded Hospitali ya Muhimbili Mloganzila hakuna huduma tangu asubuhi, wanadai system inasumbua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Joined
Dec 9, 2025
Posts
89
Reaction score
213
Pole sana kwa changamoto, Mungu akufanyie/awafanyie wepesi
 
Nipo hapa nasubiri kanusho
 
kuna huduma za msingi mwananchi ni haki kuzipata bure.. matibabu ,maji na elimu.
 
Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote.

Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe kwa kukosa Huduma kuliko Wizi kufanyika wakapata hasara.
Kweli shetani ni mbaya sana!
 
Ingekuwa ni kipindi cha uchaguzi mngeonekana wa maana
 
Kwa sasa ofisi karibu zote za umma ukienda mifumo inasumbua!!!😀

Wapi TANESCO,miezi miwili sasa ombi lako tunalishughulikia!!
 
Back
Top Bottom