Kijakazi Chizi
Member
- Dec 9, 2025
- 89
- 213
Tulishaingizwa kingi kitambo mbonaNchi imekuwa ya kipumbavu sana.
Kweli shetani ni mbaya sana!Tuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote.
Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe kwa kukosa Huduma kuliko Wizi kufanyika wakapata hasara.
Ingekuwa ni kipindi cha uchaguzi mngeonekana wa maanaTuko Mloganzila Hospital tangu asubuhi hakuna huduma yoyote, walioko Wodini wala waliokuja kutibiwa wanasema System inasumbua so, hamna huduma yoyote.
Tumeomba wafanye “Manual” kuokoa Maisha ya Wagonjwa wanasema haiwezekani sababu wanayotoa ni kwamba wizi utafanyika, so kwao ni bora watu wafe kwa kukosa Huduma kuliko Wizi kufanyika wakapata hasara.
Hii hatari sasaKwa sasa ofisi karibu zote za umma ukienda mifumo inasumbua!!!😀
Wapi TANESCO,miezi miwili sasa ombi lako tunalishughulikia!!