Tuwekee na wewe ushahidi kwamba yeyote anaweza kutibiwa, mfano tumezoea kuona Picha mbalimbali za MOI, JKHI, Mloganzila Hospitals na nyinginezo zikionyesha watu wanapata matibabu, ila hiyo wala sijawahi kuona..Uongo gani sasa? Ile ni hospital ya umma acha kuwa zwazwa! Ulishawahi kuugua ukaenda pale ukafukuzwa…? Ama ni nani unayemfahamu alishawahi kwenda pale akafukuzwa kama una ushahidi weka hapa…!
Wewe ukiugua nenda hapo kama hutotibiwa uje ulete mrejesho…
Acha kuleta stori za vijiwe vya kahawa hapa..!
Kuhusu viongozi kutibiwa kwa vibali maalum, mbona zipo hospital nyingi tu zenye utaratibu wa namna hiyo…!
Uongo gani sasa? Ile ni hospital ya umma acha kuwa zwazwa! Ulishawahi kuugua ukaenda pale ukafukuzwa…? Ama ni nani unayemfahamu alishawahi kwenda pale akafukuzwa kama una ushahidi weka hapa…!
Wewe ukiugua nenda hapo kama hutotibiwa uje ulete mrejesho…
Acha kuleta stori za vijiwe vya kahawa hapa..!
Kuhusu viongozi kutibiwa kwa vibali maalum, mbona zipo hospital nyingi tu zenye utaratibu wa namna hiyo…!
hilo jamaa halielewi kitu nilishashuhudia ajali mbaya imetokea karibu na geti la kuingilia hiyo hospitali ya mzena wananchi wakataka wawaingize majeruhi kwenye hiyo hospitali walinzi wakakataa wakaelekeza wapelekwe mwananyamalaTuwekee na wewe ushahidi kwamba yeyote anaweza kutibiwa, mfano tumezoea kuona Picha mbalimbali za MOI, JKHI, Mloganzila Hospitals na nyinginezo zikionyesha watu wanapata matibabu, ila hiyo wala sijawahi kuona..
Tuwekee na wewe ushahidi kwamba yeyote anaweza kutibiwa, mfano tumezoea kuona Picha mbalimbali za MOI, JKHI, Mloganzila Hospitals na nyinginezo zikionyesha watu wanapata matibabu, ila hiyo wala sijawahi kuona..
nshukuru Mungu huwa siumwagiumwagi embu wewe jaribu kwenda pale.
Ile sio taasisi ya umma kama the public service act ya mwaka 2002 inavyoeleza .
Sasa ni hivi katafute tangazo la kupangiwa kazi madaktari liilotolewaga na wizara ya afya kama utaona kuna daktari yeyote aliyepangiwa kazi kwenye hiyo hospitali na ujiulize kwa nini.
Hiyo ni hospitali maalumu kwa ajili ya wafanyakazi wa TISS na Familia zao tu.
Ukiumwa nenda pale ukapatiwe huduma kama utapata kama sio member wa pale.
watu kibao wanapata ajali mitaa ile hawapelekwi pale wanapelekwa mwananyamala wakati kuna hospitali nzuri karibu unafikiria kwa nini
Duh...Mtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
Mwamba huyu hapa kudadadekiMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
Mpango wa mda mrefuMwamba huyu hapa kudadadeki
Oops !!!Mpango wa mda mrefu
Aseeee watu mnajua yalio siriniMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
😆😆😆Mtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
duuh na tuliambiwa mwamba alifia hapoMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
Mmh!Mtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
MmmhMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
We mtu weweMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
Aysee! Watu huwa mnaona mbali bila kujijuaMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema
Babu,Kama Kuna pahala tulitofautiana kihoja na viroja basi chukulia tu poa,si unajua raia tukivimbiwa shida tukiwa na njaa shidaMtaijua vizuri siku akilazwa Magufuli nadhani ndio wataitangaza vyema