Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Hospitali ya Mzena wanapokea bima ya NHIF?

Nimewahi kuingia Mzena kwa tiketi ya ndugu zangu kadhaa ambao ni maafisa vipenyo.

Mule ndani acha kabisa, kuna mambo mengi mazito, nilishangaa kukuta sheli kubwa sana ya mafuta mita chache kabla ya hospitali (kwa ajili ya maafisa ku-fuel magari yao).

Wakati flani nikiwa nauguza mmoja wa ndugu zangu, ilipofika muda wa chakula nikafatwa na jamaa mmoja akaniuliza utajisikia kula nini mchana! Nikaanza kukodoa. Akaniambia wanatoa chakula bure kwa watu wanaokuja kutembelea na kuuguza wagonjwa wao, akanipa menu..aisee ni vyakula vya hatari! Nilipotoa order nikaletewa msosi murua kabisa halafu mwingi, ukanishinda hata kumaliza.

Chumba cha mgonjwa tu ni kama sebule, kikubwa kina kila kitu. Aisee kile kitengo kinajipendelea sana. Najuta kwanini nilikataa kuingia huko kipindi hicho [emoji2960][emoji28]
Kama msosi tuu unakutoa mate.

Usingefaa huko.
 
Acheni Fantasy ni Hospital ya kawaida sana na haina facility nyingi wala wataalam

Kwa viongozi kulazwa hapo ni kama first aid tu na temporary recover

Ndio maana viongozi wanapelekwa JKCI au MNH where kuna facility za kutosha na wataalam

Huyo Mwinyi alianzia Mzena kisha akahamishwa JKCI alipofia same as
JPM na Ben
pia na wengineo

Kuna haja Hosp ya Mzena ipewe Facilities za na uwezo; waajiri au wakasomeshe experts

JKCI na MNH viongozi wakilazwa hapo huwa taarifa zao zinavuja snaa from unethical workers.

Info za mwinyi, JPM , lowasa kuwa weshakata moto long Time zilianzia JKCI , watu wanapeana taarifa na washikaji zao mzeee keshakata moto au mzeee hatoboi

Hili liangaliwe. Hivyo vi medical practitioners wa hapo ni uharo and unethically takataka

Huu ni uzembe wa hali ya juu, yaani uishi na mtu miaka yote hiyo usijue kazi yake ya siri.
Mwiko no 1 kwa any Agent ni kujulikana yeye ni nani kwa Yeyote yule ambae sio agent ajalishi ni mkeo au nani.Ma agent wa huku Manzese wengine wakilewa tu wanajitaja kwa sifa na wengine wanatoa Service Hand Guns ili wajulikane😂 Mwamba huyu hapa:

View: https://www.bbc.com/news/av/uk-england-wiltshire-48676443#:~:text=Audrey%20and%20Glyn%20Phillips%20were,his%20role%20within%20Operation%20X%2DX.
 
unyafunyafu tu.

kwanini magufuli akapelekwa kenya na tuna hospital muhimu kabisa isiyo busy ila kwa majukumu hayo tu ya viongozi!!!
 
Back
Top Bottom