Hospitali ya Rabininsia, Tegeta ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?

Hospitali ya Rabininsia, Tegeta ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?

Nilienda hapo tupata matibabu ya macho nilipewa dawa nikatumia ikaisha ila bado yanawasha lkn baada ya wiki kadhaa baaya ya kuacha kutumia dawa nimepona kbs nashukuru tu bado kupambana na mwanga unaumiza kichwa changu
 
hii hospital mnaonaje ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?
Ni Hospital nzuri ( hasa kwa Tiba na Madaktari Bingwa Wao ambao Wengi wanatokea Muhimbili National Hospital ), ila Ushauri Watu wa Kitengo cha Physiotherapy wabadilike kwani baadhi yao hutoka na Mihasira yao Kwao na kuja nazo hadi kwa Wagonjwa wanaowahudumia na Kuwatibu kwa Hasira, Kukomoa hadi Wengine hutoneshwa Majeraha yao.
 
nimemlaza mgonjwa wangu chumba laki 1 lakini leo wiki ya pili operation imeisha mara damu imepungua mara tunaangalia infaction sehemu ya operation kama ipo naona siku zinaenda tuu milion 2 zimefika za chumba tu, kwani hawezi kuruhusiwa tukawa tunamleta kuchekiwa, ukiwabie ndio utasikia damu imepunguwa mara tunaangalia infanction kama ipo
 
Hii hospital mnaonaje ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?
NAam jamaa wako vizuri sana.
Wana specialists toka muhimbili ambao wanafanya kazi ...kama part..time, kwa kweli wako poa sana.
Niliuguza mzee wangu pale sio chini yamiezi 3 kila siku nilikuwepo pale so ninachokisema ni sahihi.
 
nimemlaza mgonjwa wangu chumba laki 1 lakini leo wiki ya pili operation imeisha mara damu imepungua mara tunaangalia infaction sehemu ya operation kama ipo naona siku zinaenda tuu milion 2 zimefika za chumba tu, kwani hawezi kuruhusiwa tukawa tunamleta kuchekiwa, ukiwabie ndio utasikia damu imepunguwa mara tunaangalia infanction kama ipo
Complications baada ya surgery ni kawaida, kuliko uruhusiwe utoke hospital ukiwa bado haujapona ni bora uvumilie watibu kila kitu, wao ni wasomi wameona kuna changamoto, usiangalie pesa ,angalia mgonjwa anapata nini, ni ushauri tu...

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom