Hospitali ya Rabininsia, Tegeta ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?

Hospitali ya Rabininsia, Tegeta ni nzuri kwa matibabu ya mifupa?

NAam jamaa wako vizuri sana.
Wana specialists toka muhimbili ambao wanafanya kazi ...kama part..time, kwa kweli wako poa sana.
Niliuguza mzee wangu pale sio chini yamiezi 3 kila siku nilikuwepo pale so ninachokisema ni sahihi.
Speciliasts wooote bongo hii ni mali ya muhimbili..Wa rabininsia ndio hao hao utawakuta Regency na kadhalika
 
Back
Top Bottom