Nasikia ni muda sasa umepita mtambo wa kuchemshia vifaa vya upasuaji hapo hospitali ya mkoa Amana umekufa,ili upasuaji ufanyike vifaa vinaendea kuchemshwa sehemu nyingine nje ya hospitali.
Kwa ukubwa wa hopitali ya Amana,nadhani suluhisho lingetafutwa kwa haraka.Inasemekana Mashine iliyopo ina haribika haribika mara kwa mara. Sijui ni kuukuu au labda kuna hujuma flani hiv inafanyika au ilifanyika wakati wa manunuzi.au pengine uwezo wa mafundi wa hospitali ni mdogo.
Ni hayo tuu.