pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Asante, ni kweli aiseeUgua pole ndugu. Hapo ni balaah sana kwa Bei na kupata huduma yenyewe.
KAZI ni kipimo cha utu
Umeamua vizuri kabisaMe niendelee na sinza palestina sitaki kuzimia huku sija pata dawa,
HAtari sana, 60k kwa malaria huu ni wizi -- au ndo mambo ya serviceKumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jion bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Yaani we acha tu, huu ni zaidi ya wiziHAtari sana, 60k kwa malaria huu ni wizi -- au ndo mambo ya service
Kwa price hizo kama service ya magumashi -- mamlaka ziangalie la kufanya maana raia wake tutakua tunatapeliwaYaani we acha tu, huu ni zaidi ya wizi
Ila hata mimi utaratibu wa kuingia kwa daktari kwa kuviziana huwa siukubali hata kidogo aisee --- japo kuna hospitali wanaweka ule mfumo wa ticket ila nao haufatiliwi vizuriKumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jion bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
πππππAsante, ni kweli aisee
Nikadhani majenho mazuri basi na huduma zitakuwa nzuri kumbe heri hata ya zahanati za mtaani
Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
ππ
Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz
Rwechengura?Toka afe wakili mmoja kwenye hiyo hospitali nawaonaga jau sana
Mkuu kwani ulitaka afe nani kwenye hospital ndo usione jau??au ulitaka afe boda boda ndo uone kifo hospital ni kawaida??.Toka afe wakili mmoja kwenye hiyo hospitali nawaonaga jau sana