Noma sana.Kipindi wanaijenga nikajua Hotel au Apartment nikatoka nje ya mkoa nikakaa nusu Mwaka narudi Daslam nakuta ni bonge la Sibitali sasa ndugu yangu nikajua patakua special sana kumbe miyeyusho hivyo ama kweli sura Sio Roho
(Majengo Sio Huduma)
Maana hata jengo la bunge ni zuri ila ndani kuna misukule ya Lumumba!
😁😁
Kwako Maghayo Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr adriz
Ndio tatizo hilo, wanaweka utaratibu halafu haufuatwiIla hata mimi utaratibu wa kuingia kwa daktari kwa kuviziana huwa siukubali hata kidogo aisee --- japo kuna hospitali wanaweka ule mfumo wa ticket ila nao haufatiliwi vizuri
Sasa hivi pale sefee wameruhusu bima basi pana watu kama wote,Naona ni hospital nzuri..
Kwa DSM kuna ile hospital inaitw TMJ 5-6 yrs way back waliniokoa nisipigwe Op ya macho.. maana Dar group walitaka wanipasue... nikaenda pale nikapewa daw ya 15k tu.. mpk leo naona kama Eagle..
Sasa sijajua bado wapo vzr au vipi..
Saifee ipo vzr Bi mkubwa alilazw pale, hakuna majitu mengi (Sijajua sahivi)..
Mwananyamala na ndg zake wengine akiwemo Mloganzila (Lupaso) hatoki mtu pale kama kwa Mkapa..
Sijachafua mtu, nimetoa maoni ili wajirekebishe, wewe unaona ni sawa kupima malaria tu zaidi ya masaa nane?Mtoa mada acha roho mbaya na umaskini!!
Iyo hospital ni hospital inayohudumia kutokana na vigezo na standards zake!
Mimi wife amekaa hapo hospital zaidi ya miezi miwili,!Kila kitu poa na bei zake ni himilivu ukicompare na Aga khani.
Kama hauwezi huduma rudi kule Mwananyamala haulazimshwi..acha kuchafua watu..
AsantePoleni sana.
Umefrahia?😂😂😂😂😂
Hahaha hizo bei ni za kawaida sana hao ni wawekezaji.Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
NdioRwechengura?
Afe CPA Mashavu ama Kasongo pro max Wasira.Mkuu kwani ulitaka afe nani kwenye hospital ndo usione jau??au ulitaka afe boda boda ndo uone kifo hospital ni kawaida??.
dawa yake wagonjwa wasiende hapo kutibiwaKumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Kwahyo huduma zao ni himilivu , ndo hii 60K kumuona daktari au huwa wana bei nyngne himilivu?Mtoa mada acha roho mbaya na umaskini!!
Iyo hospital ni hospital inayohudumia kutokana na vigezo na standards zake!
Mimi wife amekaa hapo hospital zaidi ya miezi miwili,!Kila kitu poa na bei zake ni himilivu ukicompare na Aga khani.
Kama hauwezi huduma rudi kule Mwananyamala haulazimshwi..acha kuchafua watu..
Pole hospital za leo bila Bima kizungumkuti.Kumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Kuwa makin , usikute uoga wa OP ndo unakudanganya , hakunaga case ya surgery inatibiwa kwa dawa , kuwa makin narudia kuwa makiniNaona ni hospital nzuri..
Kwa DSM kuna ile hospital inaitw TMJ 5-6 yrs way back waliniokoa nisipigwe Op ya macho.. maana Dar group walitaka wanipasue... nikaenda pale nikapewa daw ya 15k tu.. mpk leo naona kama Eagle..
Sasa sijajua bado wapo vzr au vipi..
Saifee ipo vzr Bi mkubwa alilazw pale, hakuna majitu mengi (Sijajua sahivi)..
Mwananyamala na ndg zake wengine akiwemo Mloganzila (Lupaso) hatoki mtu pale kama kwa Mkapa..
Br mi nilienda 50 nahisi ujovu nikasema bora niwahi matibabu nikiwa mzima ooh nilipimwa ugonjwa ni malaria hela iliisha kwenye stage ya kulipia dawa nilitoroka dahKumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/
Hizo hela siyo ishu,
Ishu ni kutoka saa tano asubuhi mpaka sasa hivi saa 12 na nusu jioni bado sijapata majibu na utaratibu wa consultation na kusoma majibu ni wa hovyo yaani hapa watu wanapigana kila moja aingie yeye,
Utaratibu mbovu kupita maelezo, sidhani kama nitarudi tena hapa
Hospital Gani hiyo sasa...nenda Agakhan au kauiruki mkuuKumuona dokta 50,000/=, kupima malaria 10,000/