KERO Hospitali ya Seifee ijitathmini au ilazimishwe kujitathmini

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Hoja yako ya gharama bado ni dhaifu sana!!nimeshakuambia kama unaona haikufai nenda kule Mwananyamala utapokea majibu yako fasta na ghrama za chini!
Acha kupangia watu chakufanya..
 
Hao jamaa wana huduma za hovyo kabisa na bei zao zimechangamka sana. Kibaya zaidi wana ujamaa sana yaani muhindi hapo hakai foleni
 
Hoja yako ya gharama bado ni dhaifu sana!!nimeshakuambia kama unaona haikufai nenda kule Mwananyamala utapokea majibu yako fasta na ghrama za chini!
Acha kupangia watu chakufanya..
Sisi hatujampangia mtu, tumesemea ukweki

Ila wewe sasa ndio unatupangia twende mwananyamala?
 
NChi hii haina standard kwa wote ndio maana kila mtu anafanya atakavyo, unaweza kuamua usiende hospitali ukiumwa unaenda pharmacy.

una nunua dawa unameza maisha yanaenda, au ukaenda maabara ukapumwa ukapewa majibu kisha uka google ukapata njia mbadala za kujitibu ukaendelea na maisha yako.

Ila wao huo ndio utaratibu wao na wewe una choice uende au usiende.
 

ACHA UONGO DOGO.
 
Nipo nje ya Daslam mkuu ngoja nimtag Bill Lugano a.k.a Kiduku lilo hapo Oysterbay apitie apigepo kapicha!
😁😁
Nmerudi jana. Tulikuwa na kikao na Elon Musk na watu wengine wenye akili Duniani kabla ya hapo nlikuwa Canada,Sweden, SA, Egypt, Russia, China, Usa, Uk na Japan nikitoa lectures kwa watu mbalimbali wenye akili.
 
Mkuu usibishe, kwenye suala la muda hauzingatiwi kabisa. Fikiria ukiandikiwa sindano unatakiwa uende kitengo cha emergency ukachome. Sasa unadhani staff wa emergency wataacha kudeal na emergency kwanza wakuchome wewe sindano? Kusubiri kuchoma sindano tu nilikaa muda wa kutosha. Inawezekana wana huduma nzuri maeneo mengine lakini kwa suala la muda hawako makini.
 
Salama kabisa nlikuwa napewa brifieng kila siku jioni yanayoendelea huku kwenu na Waziri wa Ulinzi wa nchi. Poleni na heka heka zenu
Tupo si umeona ule mkeka wa kutoka Agha Khan via Tanzanite bridge to Coco Beach road?
Kama Copa Cabana utateleza tu na Escerade lako,
Vipi ile Ford iliyopaki Airport ulienda ibeba au umewaachia mamlaka ya JKIA wapigie misele boss?
😁😁
 
Tupo si umeona ule mkeka wa kutoka Agha Khan via Tanzanite bridge to Coco Beach road?
Kama Copa Cabana utateleza tu na Escerade lako,
Vipi ile Ford iliyopaki Airport ulienda ibeba au umewaachia mamlaka ya JKIA wapigie misele boss?
😁😁
Nliwaachia kuna Waziri mmoja Mkuu ameomba apewe yeye kama kumbukumbu ila nikasikia rais kaagiza ikapakiwe home kwake kwanza. Sijajua wameamuaje wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…