Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia.
Inasikitisha sana yaani hii nchi imelaaniwa sana. Halmashauri zina mambo mengi sana ya kienyeji.
Kusoma majibu ya hospitali, bofya hapa Hospitali ya Rufaa Mbeya yasema “Hatulipishi Huduma ya Vyoo, anayefanya hivyo ni mtu binafsi”