KERO Hospitali ya Serikali kwanini inakuwa na huduma ya choo ya kulipia?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Serikali haina watu wabuni, huwezi kuweka choo kuwa chanzo cha mapato maanake unachochea uchafuzi wa mazingira
 
unakula chakula cha elf10 kuchangia huduma kwa mia 3 ku-download uchafu unaona taabu bac kaeni na mizigo yenu
 
Nanunua mkuu ila kwa Nini choo nilipie
Dawa zinanunuliwa kwa kodi za serikali na choo kinajengwa kwa kodi za serikali sasa kama unalipia huko kwingine kwa nini ukatae kulipia choo?

Kwanza unakuwa umeikosea adabu hospitali

Unaondoka na uchafu tumboni toka nyumbani kwenu badala ya kujisaidia kwenu ndio uende hospitali huyo unasafiri na huo uchafu tumbonib hadi hospitali kwenda kuuacha kwenye vyoo vyao wakati kwenu vyoo vipo

Siku ingine jisaidie kabisa kwenu ukienda hospital unatibiwa tu na kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…