Hospitali ya Taifa Muhimbili kujenga jengo la kisasa, wagonjwa kuanza kutua kwa helkopta

Hospitali ya Taifa Muhimbili kujenga jengo la kisasa, wagonjwa kuanza kutua kwa helkopta

Mfumo wa kitabibu kwa dunia ya leo ni kinga Je hapa Dar-es-salaam kuna mikakati gani endelevu ya kuuwa mazalio ya mbu hadi tutokomeza kiumbe anaeitwa mbu?
 
Nilisikia kilicho kwenye mpango no zahanati kila kijiji. Hiki kimekamilika lini?
 
hongera sana H.E JOHN MAGUFULI ............. japo kuna walle wazungusha mikono watapinga vikali sana ujenzi wa hii mradi
 
Mfumo wa kitabibu kwa dunia ya leo ni kinga Je hapa Dar-es-salaam kuna mikakati gani endelevu ya kuuwa mazalio ya mbu hadi tutokomeza kiumbe anaeitwa mbu?
Tumeambiwa tufyatuane
 
Katika maandalizi ya huduma hizo wameshaanza kozi ya paramedic?
 
Mloganzira pako kama jangwa alafu wanajenga muhimbili, ama kweli ukistaajabu ya leo utayaona ya jana.
 
Hizo fedha wanazoenda kuchezea kwenye hiyo project ingekua vema endapo zikatumika kununua Ct scan, MRI,endoscope n.k zikasambazwa mikoani nadhani itasaidia kupunguza gharama kubwa ya matibabu.Sio kila anaekosoa ni Chadema wengine watu wema.
 
Wanaangalia sehemu inayofaa kupiga
 
Sio lazima isipokuwa huenda maeneo ya chini ya jengo ni finyu kuweza kuweka eneo la kutua na kupaa kwa helicopter.

Pili, huenda zile emergency facilities za jengo zipo ghorofa za juu hivyo kusaidia uchukuzi au delivery ya wagonjwa inahitajika kufanya hivyo.

N.k
Kwani lazima helcopter itue kwenye gorofa ?
 
Ingawa wamechelewa lakini hongera zao kwakweli
 
Back
Top Bottom