Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Nadhani itakuwa mpya ambayo itafanana kama ambulance.. ngoja tusubiri tuone ...ni jambo jema sana.HELKOPTA ZIPO SIJUI NGAPI, KUNA YA JESHI LA POLISI, MSUKUMU, GWAJIMA, NA ZA MAJESHI YA ULINZI SIJAONA ZA SERIKALI (HOSPITALI)
Sijategemea swali kama hili. watu kukodi ambulesi kwenyewe mzozo, wangeweka tu sehemu ya kupaki boda boda inatosha.wanatua na Helkopte wakitokea wapi?
Inamaana kutoa kuwa na air ambulance serviceswanatua na Helkopte wakitokea wapi?
Tumeambiwa tufyatuaneMfumo wa kitabibu kwa dunia ya leo ni kinga Je hapa Dar-es-salaam kuna mikakati gani endelevu ya kuuwa mazalio ya mbu hadi tutokomeza kiumbe anaeitwa mbu?
Kubwa J, unawaza CHADEMA tu.PIGO KWA CHADEMA
Wanaangalia sehemu inayofaa kupigaHizo fedha wanazoenda kuchezea kwenye hiyo project ingekua vema endapo zikatumika kununua Ct scan, MRI,endoscope n.k zikasambazwa mikoani nadhani itasaidia kupunguza gharama kubwa ya matibabu.Sio kila anaekosoa ni Chadema wengine watu wema.
Kwani lazima helcopter itue kwenye gorofa ?
Nasubiri jibu na mm!Hivi lilishaanzwa kujengwa?
Mkuu ujenzi umefikia hatua gani kwa sasa? Sisi wengine tupo vijijini ila tunafurahia maendeleo ya wenzetu wa mjiniPIGO KWA CHADEMA