Hospitali ya Taifa Muhimbili kujenga jengo la kisasa, wagonjwa kuanza kutua kwa helkopta

Si nilimsikia Waziri Mkuu akisema TBA wasipewe kazi yoyote?!
 
Aisee Wabongo kiboko! Helipad imekuwa issue kitu ambacho wala sio issue.
 
Kuna siku niliwahi kumsikiam kiongozi mmoja akihoji kuwa "kwa nini haya maendeleo makubwa yanayofanywa na serikali huko nyuma yalikuwa hayafanyiki?", na alikuwa na hoja ya msingi sana. Yaani unasoma kitu kwenye gazeti leo halafu unaona kama ni hadithi tu lakini baada ya muda unakuta habari uliyosoma imegeuka na kuwa physical structure, tena ndani ya mda mfupi tu, imesimama mahali fulani utafikiri ni malaika wameshuka nayo kutoka mbinguni. Mimi kwa kweli mambo ya maendeleo yanayofanyika kwa kipindi hiki hata wakati mwingine naona ni Mungu tu anafanya, siyo sisi. Ameingiza mkono wake kisisrsiri somewhere, tukawa tunaona ni sisi tunafanya kumbe hapana, ni yeye. Amechoka na kilio cha wa-Tanzania, kama alivyochoka kipindi cha wana wa Israel walipokuwa Misri. Kwa hiyo inabidi tutambue kuwa sasa hivi Tanzania hii kuna Mussa na Haruni, ila na Farao pia naye yupo. Wakristo wanaoamini maandiko matakatifu nadhani wanaweza wakakubaliana na mimi katika hili!
 
Politics

Dawa unaambiwa azipo nenda kwenye maduka ya pharmacy jirani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…