Hospitali ya Taifa Muhimbili na urasimu wa kutoa Medical Report


Inasikitisha sana
 

Punguzeni gharama nikubwa sana,kwani nyie sio watanzania?
 
Ninyi ni majizi kama majizi wengine tu, Medical Report ni taarifa ya Afya/Maendeleo ya Afya ya mhusika baada ya matibabu yake,sasa kama alilipia gharama za matibabu,iweje tena mumtoze pesa kumpa kikarati kinachoelezea matibabu aliyopata na maendeleo yake?
 
Hospitali kubwa kama hiyo, haina mfumo wa kuandaa medical report automatically? Hadi andike manually..
 
Punguzeni gharama nikubwa sana,kwani nyie sio watanzania?
Hawa ni Watanzania daraja la kwanza, hawana shida yoyote, wanakula mishahara minono, wanapewa hadi bima za ma house attendants, kutuzungusha kwa mambo madogo wao wanaona raha, ukiwapa rushwa wanapokea.
 
Hospitali kubwa kama hiyo, haina mfumo wa kuandaa medical report automatically? Hadi andike manually..
Yaap doctor anaandika manualy tena kwa kusoma mtiriko wa matibabu aliyo kuwa anakutibu pamoja na dawa alizo kuwa ana kuandikia kupitia computer yake.Then inaendwa kuchapiwa kwa wale makarani wa hosp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…