Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 680
- 421
Vitanda nje ya word hii ni dharura kiukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali Kuntu na Fikirishi sana hili Ndugu. Heko!!!!Wanashindwa tu kusema ila hali imewafika kooni mbona kipindi cha nyuma hatujawahi sikia wanapulizia dawa
Itapendeza zaidiMara 2
Kila mtu tunajua ni msanii, sema kila taasisi ni wasanii.Hii nchi bana...., Yaani kila mtu Msanii...
Ficha ujinga wako! Hospitali hazilazi wagonjwa hovyo hovyo tu, bali zinalaza kulingana na aina za maradhi.Kupulizia muhimu wodi wanalazwa watu wenye migonjwa ya kila namna ya ngozi ya upele ya vifua vikuu nk lazima muda upulizie dawa.Ukiingia ofisi kama za Chadema huwa hawapulizii dawa kuna siku nimeingia pale makao makuu kama mwandishi wa habari nilikohoa mfulululizo sijawahi rudi tena
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji28] itakua ushaanza route za kwampalange wwKupulizia muhimu wodi wanalazwa watu wenye migonjwa ya kila namna ya ngozi ya upele ya vifua vikuu nk lazima muda upulizie dawa.Ukiingia ofisi kama za Chadema huwa hawapulizii dawa kuna siku nimeingia pale makao makuu kama mwandishi wa habari nilikohoa mfulululizo sijawahi rudi tena
Sio ulipaliwa mate,kwani hukupewa hata huduma ya kwanza,au ulijitambulisha unatoka mtaa wa kijani.Kupulizia muhimu wodi wanalazwa watu wenye migonjwa ya kila namna ya ngozi ya upele ya vifua vikuu nk lazima muda upulizie dawa.Ukiingia ofisi kama za Chadema huwa hawapulizii dawa kuna siku nimeingia pale makao makuu kama mwandishi wa habari nilikohoa mfulululizo sijawahi rudi tena
Kupulizia muhimu wodi wanalazwa watu wenye migonjwa ya kila namna ya ngozi ya upele ya vifua vikuu nk lazima muda upulizie dawa.Ukiingia ofisi kama za Chadema huwa hawapulizii dawa kuna siku nimeingia pale makao makuu kama mwandishi wa habari nilikohoa mfulululizo sijawahi rudi tena
Kwanza Huyo mtoto wako.. Hana maadili. Hatunzi siri za wagonjwa..Mnajua kuwa tuna watoto wetu wanafanya kazi hapo. Tunapukutika mnakana hakuna corona
Hivi kwani tukiwa wakweli itakuwaje? Kazi ziendelee lkn tuchukue taadhari zote.View attachment 1703501
View attachment 1703502
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema kuwa huwa inao utaratibu wa kupuliza dawa ya kuuwa wadudu karibu maeneo yote ya hospitali na kwamba wakati wa zoezi hilo wagonjwa hutolewa nje na kuwekwa chini ya mahema.
Kauli hiyo imetolewa kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter wa hospitali hiyo, baada ya picha kusambaa mitandaoni zikionesha vitanda vya hospitali hiyo vikiwa vimetolewa nje na kuwekwa kwenye mahema.
"Hospitali ina kawaida ya kupuliza dawa ya kuua wadudu mbalimbali wodini, maofisini na maeneo mengine ya nje mara mbili kwa mwaka, wakati zoezi likifanyika, wagonjwa hutolewa nje na kuwekwa chini ya mahema huku huduma nyingine zikiendelea, hili ni zoezi la kawaida na endelevu", imeeleza taarifa hiyo.